Recent content by Usedcountrynewpipo

  1. Usedcountrynewpipo

    Four cylinder Vs six cylinder

    Injini ya six inazunguka mizunguko michache kuliko engine ya four katika kukamilisha mzunguko mmoja wa crankshaft...
  2. Usedcountrynewpipo

    Msaada: jinsi ya kuwalea kuku wa kisasa kwa njia za kienyeji

    Maandiko yanasema, "mlee mtoto katika njia ya Bwana, naye hataiacha hata akiwa mzee". That means kuku wa kisasa 'ukimlea' kwa njia za kienyeji tangu akiwa mdogo atazoea pia kujitafutia akiwa 'mtu mzima'. Kwa maelezo zaidi mtafute mtu humu anajiita 'kuku mdogo'...
  3. Usedcountrynewpipo

    Picha ya Salum Mwalimu baada ya kukamatwa kwa Uchochezi Shinyanga

    Jmaa alikuwa na ajira yake nzuuri tu pale Voda.. Wanasiasa wamemrubuni na kumuingiza kwenye harakati.. Sasa anasomeshwa namba....
  4. Usedcountrynewpipo

    Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Pole.. Mwamkw ni kama mtt.. Inafaa kwenda naye pole pole.
  5. Usedcountrynewpipo

    Ndoa yangu imekuwa mwiba, nisaidieni jamani

    Huyo atakuwa keshapata hawara na kampiga juju.. Cha muhimu funga na kuomba Mwenyezi Mungu amfungue...
  6. Usedcountrynewpipo

    Mke wa mtu ananiomba niwe hawara wake

    Sikiliza maombi ya mwanaume mwenzako kama amekuangukia na kukuomba kistaarabu.. Ila kama amekutukana mgongee...
  7. Usedcountrynewpipo

    Kozi ya Bachelor of Logistics and Transport management ina ajira kwa sasa???

    We c umeulizia ajira? Ndo ajira zenyewe zinazopatikana.. Treni, meli, ndege nk vyote vishakufa sa utafanya wapi hiyo logistics?
  8. Usedcountrynewpipo

    Labda uwe umeoana na samaki

    Yamekufika hapaaa! :rolleyes::rolleyes:
  9. Usedcountrynewpipo

    Nishaurini nifanyeje mpenzi wangu wa huko Tanzania asiniache maana nipo nje kikazi

    Usiwe na shaka.. Vijana wenzako wanakusaidia kukutunzia...
  10. Usedcountrynewpipo

    Napata wasiwasi na shule anayosoma kijana wangu

    Hapo wote wako sawa.. Mwalimu yuko sawa na mwanao yuko sawa.. Tofauti iko kwenye swali gani limeulizwa...
Back
Top Bottom