Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
Jamani kuna mke wa mtu anataka niwe awala wale ananitumia picha zake za uchi, juzi mumeo ameona txt zng ananiomba niachane na mkeo ila mkeo ananilazimisha mpaka amemua kutumia simu ya ndugu yake ili mumeo asijue, ila Mimi naogopa kula mzigo wa mtu nifanyaje ili anielewe bila kunichukia?
duh...kuna tatizo kubwa sana Tanzania.....what is going on...vijana wamekuwaje these days