Recent content by Usa-River

  1. Usa-River

    JamiiForums Tanzania Yanga ni habari Nyingine

    Mkuu mimi sizungumzii timu yoyote hapa, nazungumzia makosa waamuzi wetu wanayofanya, ndomaana nimesema tuache ushabiki wa usimba na uyanga tuongelee tatzo la marefa wetu.
  2. Usa-River

    JamiiForums Tanzania Yanga ni habari Nyingine

    ila kiukwel tuache ushabiki mandazi jana refa hakuwa fair, ni kama siku ile ya prison pia hakuwa fair, waamuz wetu wengi bado hawajakomaa kwenye kutoa maamuzi, ingekuwa simba au yanga ndo imefanyiwa kama ruvu jana hakika mashabiki wangeleta vurugu. Kingine muda bado sana hadi ligi iishe, naona...
  3. Usa-River

    JamiiForums Tanzania Nauza gari Range Rover Sport

    poa mkuu, karibu sana
  4. Usa-River

    JamiiForums Tanzania Nauza gari Range Rover Sport

    Mkuu sikuoni tena kwenye lile jukwaa letu la kuweka mizigo[emoji26][emoji26] njoo bhana wengine tulkuwa tunatembelea nyota yako[emoji16][emoji16]
  5. Usa-River

    JamiiForums Tanzania Simba hadi sasa hamna faida na viporo

    watu wa yanga bhana, mbona kuna kipndi yanga ilkuwa na viporo saba kabs?leo hii simba viporo vinne tu mmeanza kuongea[emoji23][emoji23]
  6. Usa-River

    JamiiForums Tanzania Fahamu masuala mbalimbali kuhusu ugonjwa wa Homa ya ini (Hepatitis B)

    Vipimo vyake vinapatikana hospitali? je wanapima damu, mkojo au kinyesi?
  7. Usa-River

    JamiiForums Tanzania Hii ndio mito mikubwa na hatari duniani

    thanks
  8. Usa-River

    JamiiForums Tanzania Hii ndio mito mikubwa na hatari duniani

    Hivi chanzo cha maji ya ziwa huwa ni nini? kwanini hayaishi?mfano ziwa vicktoria linatoa maji mengi lakin hayaishi.
  9. Usa-River

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    pawabet nzur ila haina options nyingi, mfano 10min x nk
  10. Usa-River

    JamiiForums Tanzania Hebu tutafakari kidogo,Watanzania tunashindwa wapi miss world?

    Miss Tz aliyewakilisha vzr alikuwa Nancy Sumari tu 2005, na alikuwa simple sana but beautiful
  11. Usa-River

    JamiiForums Tanzania Tupige kura, timu ipi ina washabiki wengi kati ya SIMBA na YANGA!

    Simba
  12. Usa-River

    JamiiForums Tanzania Hichi ndicho kilichoandikwa na vyombo vya habari vya Swaziland Baada ya Kipigo

    Shikamoo dada.
  13. Usa-River

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    oh asnte mkuu
  14. Usa-River

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    jaman hawa betpawa mbona siwaelew, kuna hii game ya westham nilibet no penat na nimeangalia live score zote hakuna gol la penat ila mkeka wng umechanika
  15. Usa-River

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Nipm for more details
Back
Top Bottom