Yanga ni habari Nyingine

Ndiooo. Na hii ndio sababu ulaya kuna VAR. Waweke na huku TZ ili tusimlaumu mwamuzi sababu si malaika yule Ses.
Ikija VAR huku tutakimbiana humu ujue! Kwa mliozoea mbeleko mtapata tabu sana. Tena siku hizi afande Moroto kaongeza nyingine anasema "Tabu iko palepale"
 
ila kiukwel tuache ushabiki mandazi jana refa hakuwa fair, ni kama siku ile ya prison pia hakuwa fair, waamuz wetu wengi bado hawajakomaa kwenye kutoa maamuzi, ingekuwa simba au yanga ndo imefanyiwa kama ruvu jana hakika mashabiki wangeleta vurugu.

Kingine muda bado sana hadi ligi iishe, naona tutunze maneno kdg tuache miemko isiyo na tija.
 
TATIZO MKUU WATU WALIIBEZA SANA YANGA KUTOKANA NA KIOSI CHAO WANATAMANIM KILA SIKU YANGA IFUNGWE SO NGOJA WAUMIE HADI ROHO IWATOKE NA NKANA ANAWAGONGA WANAJIPAMOYO NA GOLI LA UGENINI LITAWATOKEA PUANI
 
TATIZO MKUU WATU WALIIBEZA SANA YANGA (WAONGEA HOVYO SANA AKINA MANARA NA MASHABIKI WAO) KUTOKANA NA KIKOSI CHAO WANATAMANIM KILA SIKU YANGA IFUNGWE SO NGOJA WAUMIE HADI ROHO IWATOKE NA NKANA ANAWAGONGA WANAJIPAMOYO NA GOLI LA UGENINI LITAWATOKEA PUANI
 
Ni pale mbeleko itakapoanza kuchanika Shadeeya, tena hata kabda ya kuja kwa VAR raundi ya pili ndio mtajua kwamba hiyo nafasi mliyokalia kwa kubebwa kumbe sio yakwenu, ina mwenyewe
Hivi wanaobebwa ni wapi mmepewa wiki mbili kujiandaa na Nkana halafu mmepigwa si mgecheza angalau mechi hata moja ikajulikana mnalimbikiza maviporo yasiyo ya lazima (wiki mbili kwa mpira ule) mtasubiri sana hayo maneno hamjayaanza leo umekuwa kama wimbo jifarijini tu ndo mtajua kuwa gori la ugenini lina faida ama halina faida
 
TATIZO MKUU WATU WALIIBEZA SANA YANGA KUTOKANA NA KIOSI CHAO WANATAMANIM KILA SIKU YANGA IFUNGWE SO NGOJA WAUMIE HADI ROHO IWATOKE NA NKANA ANAWAGONGA WANAJIPAMOYO NA GOLI LA UGENINI LITAWATOKEA PUANI
Mkuu mimi sizungumzii timu yoyote hapa, nazungumzia makosa waamuzi wetu wanayofanya, ndomaana nimesema tuache ushabiki wa usimba na uyanga tuongelee tatzo la marefa wetu.
 
Uliangalia mechi yote lakini Shadeeya au kuna nyakati ilibidi uzime TV kwa muda ili pressure isipande? Kama uliangalia hebu sema ukweli wako mbeleko hukuiona? Msema kweli ni mpenzi wa Mungu ujue! Cmb
Rejea mechi ya Prisons tulilalamika sana refa alivyotundea kwenye baadhi ya matukio. Mlikaa kimya. Leo kibao kimegeuka mnalalamika. Mnachotakiwa kujua inapokuja kesi ya mwamuzi kuvurunda inabidi sote tuongee Lugha moja kwa mustakabali mwema wa soka la nchi yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom