Mkuu mi siwezi kupritend, hapo parefu sana kwangu. Sisi ni wazee wa toyota za M 5 hadi 8, huko kwa wazungu sikuweziJifanye hata kuuliza punguzo bhana![]()
poa mkuu, karibu sanaWorry out
I'll be there soon,
Kuna mambo flan yameniweka bize mkuu
U can't be serious Bro![]()
Mkuu usiniambie betting ndio imekupatia hiyo ndinga aisee...Nnahitaj pesa, Kuna kitu cha muhim sana nahitaj kufanya kwa sasa
Bibi kwa ushamba uko vzr,Manji ana kitu autobiagraph 2017.Kama ya Manji.
duh, umechokoza vita subiri ajeBibi kwa ushamba uko vzr,Manji ana kitu autobiagraph 2017.
Zaidi ya udini hakuna kitu anajua mkuu.duh, umechokoza vita subiri aje
Alisajili kisha akapakiNaomba mnitoe ushamba.. jamaa anasema gari imetumika bongo kwa miezi kumi na moja tuu, lakolini magari yenye namba zinazoanza na DC.. yapo bongo toka 2014.. inakuaje gari ya juzi miezi kumi na moja iliopita ina namba ya namna hio?
Hii gari Tokea imekua Imported 2015 julyNaomba mnitoe ushamba.. jamaa anasema gari imetumika bongo kwa miezi kumi na moja tuu, lakolini magari yenye namba zinazoanza na DC.. yapo bongo toka 2014.. inakuaje gari ya juzi miezi kumi na moja iliopita ina namba ya namna hio?
Ubarikiwe sana Mkuu
So mkuu kwa muktadha huu hiyo miezi 11 ume calculate vip?Hii gari Tokea imekua Imported 2015 july
Imekua haitumiki Mara kwa Mara zaid ya Wikend moja moja tu kwa ajili kutoka na family
Pia haijawahi kupiga safar yoyote ndefu, iwe ndani ya DSM au mkoani.
Body take haijawahi kurudiwa wala kuchubuka Rangi hata kidg sehemu yoyote ile.
Kama Una wasiwasi,
Njoo upanga uikague gari na Uje na fundi wako Unaemuamini.
Kama wee mwnyw ni fundi, Basi itakua bora zaidi.
Gari imekamilika kila idara,
Iko na vibali vyote halali vinavyokubalika kisheria.

