TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kama ambavyo imeripotiwa kwenye vyombo vya habari na njia zingine za upashanaji habari tangu jana kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Ndugu Saed Kubenea aliwekwa chini ya ulinzi na kuamriwa kwenda kituo cha polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya...
Kweli Lipumba amekaa na CUF 16 yrz lakini badala ya chama kukua kinazidi kudidimia tu.
Bora aondoke tu aje mwingine mwenye maono angavu akijenge chama kwa nguvu zote.
Prof alikua anaendesha chama kizee sana na nachelea kusema huenda alikua anaihusudu sana CCM
Hakuna kulala.Mabadiliko ni sasa
Huduma zenu kwa wateja zimekaa kimatangazo zaidi.
Mtu akifika hahumiwi ipasavyo.
Pia unakuta kuna teller window nyingi ila wähudumu hamna ndani matokeo yake folen inakua ndefu na isiyosogea
Lemutuz umetisha Baba mkubwa wangu......kweli wewe digrii 3
Siyo ushabiki wala kutafta nafasi za kisiasa ila umezungumza ukweli ambao wengi hatutaki kuusikia.Viva William
Pointless....Monduli kwetu hapako hvyo licha ya kwamba ni porini....Mbona Dar umeme huwa unakatika siku au hata cku 2??Monduli kwetu tunaogea maji ya baridi ili kujiweka fiti zaidi.Siku ingine omba unyooshewe nguo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.