Naiona Simanjiro Mpyaaaaa

Naiona Simanjiro Mpyaaaaa

Nali

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
1,155
Reaction score
814
Hii ni baada ya tukio lililokua likisubiriwa kwa Muda mrefu na wanasimanjiro kwa JAMES OLEMILLYA kuchukua Leo fomu ya kugombea Jimbo la Simanjiro.

Hii ni ishara njema na nyota njema huonekana asubuhi.

Kila lakheri Kamanda, kila lakheri Mwana mwema na mzalendo wa kweli anaeguswa na mateso wanayopata wanasimanjiro kutokana na mifumo dhaifu, kandamizi, na ya kishetani ya ccm na mawakala wake kama Sendeka.

Imekwisha!!!!!!
 

Attachments

  • 1440080247504.jpg
    1440080247504.jpg
    32.7 KB · Views: 436
  • 1440080269701.jpg
    1440080269701.jpg
    25.8 KB · Views: 386
  • 1440080319070.jpg
    1440080319070.jpg
    49 KB · Views: 391
Hakika nenda kamanda tuko nyuma yako kwa maombi na support zozote
 
Back
Top Bottom