Lowassa mizunguko ya kutafuta wadhani, Kampeni amewekeza na Afya yake

Lowassa mizunguko ya kutafuta wadhani, Kampeni amewekeza na Afya yake

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
22,475
Reaction score
21,046
Nguvu kubwa ya fedha,Mali ,mazingaombwe tumeyashudua katika safari ya Mzee wa matumaini,hamna asiyetambua kwamba rambi rambi alizozianza miaka ya nyuma million 400,mil 500 katika makanisa na misikiti zinakuwa na lengo la kisiasa hasa kupalilia nafasi ya URAIS anayoinyemelea kibiashara zaidi.

Pamoja na Mara kadhaa kuulizwa anatoa wapi fedha haachi kujibu anapewa na marafiki zake ambao hayuko radhi kuwataja.

Swali Je ikitokea jina lake limekatwa katika vikao vya CCM ,Gharama zote alizotumia haitam cost afya yake?Ni nani asiyefahamu kama huyu Mzee hata kukimbia uwanja wa mita 100 hawezi?

Je, stress za kukatwa jina na kuizunguka Tanzania ili wapiga kura wamuone haimgharimu Afya yake?

Je, nini itakuwa hatima ya Afya ya EL baada ya kupata frustrations za kukatwa jina lake?Atakuwa tayari tena kushiriki siasa baada ya kuwekeza mzigo wa nguvu sana katika gamble yake?

"TO EVERY ACTION THERE IS ANY EQUAL AND OPPOSITE REACTION"
 
Afya ya manywele inakatisha tamaa ndo mana kwenye safari zake ndege zinahusika sana anatamani hadi vijijini kungekua na airline fields

Lakini kifo kiko mikononi mwa Mungu, anaweza akaishi na maradhi yake muda mrefu hadi tushangae.
Japo kweli nikimuangalia kachooka. Ila wa TZ ndo wamekomaa naye
 
Mtajua wenyewe na mafisadi yenu watanzania wanataka kiongozi safi.
 
mwekundu

leo nimemuona ITV daah hata kuinua mguu hawezi anachechemea!! watu wanapomuita kamanda huwa nashangaa sana!! kamanda gani hata kuweka mguu pande hawezi??.. mgonjwa sana yule jamaa basi tuu njaa za mashabiki wake zinampa nguvu
 
Last edited by a moderator:
leo nimemuona ITV daah hata kuinua mguu hawezi anachechemea!! watu wanapomuita kamanda huwa nashangaa sana!! kamanda gani hata kuweka mguu pande hawezi??.. mgonjwa sana yule jamaa basi tuu njaa za mashabiki wake zinampa nguvu

Mbona unatoka povu sana.. Si umuunge mkono anayeweza kuweka mguu upande na mguu sawa ..unatokwa povuu lote hilo kwa nini ?
 
Msijisahau jamani hata Nyerer angekuja kugombea leo hawezi pata
 
Lakini kifo kiko mikononi mwa Mungu, anaweza akaishi na maradhi yake muda mrefu hadi tushangae.
Japo kweli nikimuangalia kachooka. Ila wa TZ ndo wamekomaa naye

Sasa ni bora apumzike tu nyumbani tukimuongezea na matatizo ya wa Tanzania kupanda dola,kutokua na maji,umeme,huduma bora,unemployment etc etc tutamuumiza ni bora akae kando hayo mambo yatapunguza life expectancy yake mgogoro
 
Unajua nashangaa kusoma comments za hovyo za wale wanaomponda mtia nia wa urais

Cha msingi kama wasomi na wadau wa siasi tusikilize, tupime, tuchambue hoja zao na vipaumbele zina mashiko?

Tanzania ilipofika inapumulia mashine, chama tawala kimechoka, viongozi wake wamecost hili taifa sana, kwa rasilimali tulizonazo, fursa kibao kweli tunastahili kuishi maisha haya ya kumaskini, ombaomba.

Ifike wkt tunamchagua mtu wa uwezo wake wakwenda ikulu kufufua matumaini ya watanzania kiuchumi, kiutawala n.k tusirudie kosa la kumchagua rais eti kwa kuwa ni handsome ana maneno matamu, tuchague mtu kweli anaonekana moyoni ana shauku, na uchungu ya kwenda kufunga ukarasa wa madudu.
 
Sasa ni bora apumzike tu nyumbani tukimuongezea na matatizo ya wa Tanzania kupanda dola,kutokua na maji,umeme,huduma bora,unemployment etc etc tutamuumiza ni bora akae kando hayo mambo yatapunguza life expectancy yake mgogoro

Mwenyewe amesema hana mpango wa kushidwa.
Anajiona yuko fit, ngoja tuone. The end justifies the.....................
 
Alishindwa kujenga hata Familia yake mwenyewe unamsifu na misingi ipi

Baba ukiwa na kipaji cha uongozi sio lazima watoto warithi,mfano wewe mbona ni mlevi lakini Mzee wako hakijui hata kilabu??
 
Back
Top Bottom