CCM tumefikaje hapa tulipo?

CCM tumefikaje hapa tulipo?

Wewe ni sample ya ubongo wa Watanzania wengi ulivyo dhaifu kwa kughiribiwa na porojo za Le Mutuz.

Mtu anayekula matapishi yake ni wa kuogopa kama ukoma hiki ni kipindi ni cha maopotunist kuanza kujipendekeza.

Kila mtu atakushangaa leo hii mtu kama Nape na Makonda waanze kumsifia Lowasa halafu eti uwasapoti Fact na Evidence ni kwamba Le Mutuz ameshausoma mchezo na ni very clear Lowasa ameshaiteka Ccm na Le Mutuz ni mmoja wa mateka aliyeamuwa kujisalimisha mapema ili akumbukwe hata Udc, Membe alishashindwa mchakato huu hata kabla hajachukuwa fomu.
Mkuu,
Ninashukuru kwa kuliona hili!

Watu wa aina ya huyu jamaa wanayumbisha sana jamii kubwa ya watanzania ambao hawafahamu malengo yao!

Kwa sasa ameanza kujongea karibu na Timu Lowassa baada ya kunusa maslahi.

Ameanza kuwa apologetic kwenye Timu Lowassa baada ya kugundua kama kuna uwezekano wa kuachwa na boti ya ulaji.

Niliwahi kumweleza kipindi cha nyuma na nilisema hivi,
Unafiki unauona kwa Prof Tibaijuka pekee?.

Mbona hata wewe ni mnafiki sana.

Kama kweli unasimama na msingi wa maneno yako kwa nini ulipoamua kurudi bongo ulitafuta njia ya kuwa karibu na proxy za Rais Kikwete wakati ulikuwa mpiga madongo na kejeli mzuri. Hii ya kusema CCM damu wakati ulikuwa unaongoza kumpiga Rais Kikwete madongo pamoja na serikali yeke imeanza lini?

Nini kilikubadili kama siyo unafiki kwa sababu hakuna kilichobadilika kwenye utendaji wa Rais Kikwete mpaka umekufanya kuanza kuusifia sanaaa.

Mimi nadhani huna moral authority ya kumnyoshea kidole Prof. Tibaijuka kwa sababu ni maslahi hayo hayo ambayo ni dubious yalikufanya kuwa soft like tissue katika mtazamo wa uongozi wa Rais Kikwete na serikali yake.

Huu unafiki huu utaliangamiza taifa.
Kwenye thread hii ambayo huyo huyo Malecela alileta,
 
Mkuu,
Ninashukuru kwa kuliona hili!

Watu wa aina ya huyu jamaa wanayumbisha sana jamii kubwa ya watanzania ambao hawafahamu malengo yao!

Kwa sasa ameanza kujongea karibu na Timu Lowassa baada ya kunusa maslahi.

Ameanza kuwa apologetic kwenye Timu Lowassa baada ya kugundua kama kuna uwezekano wa kuachwa na boti ya ulaji.

Niliwahi kumweleza kipindi cha nyuma na nilisema hivi,

Kwenye thread hii ambayo huyo huyo Malecela alileta,

- Well, tuna tofauti kubwa sana hapa mimi najadili hatma ya Taifa wewe unajadili ubinafsi wako, for sure kwa maneno yako haya una mgombea ambaye sijamfisifia sasa unalia lia unadhani wote tunaishi kwa kutegemea pilau na fulana za wagombea kama wewe hahahaha,

- Yale yale niliyoyasema mimi naongea progress na faults za Process wewe unaongelea personalities, pole sana haya mambo ni makubwa sana kuliko uwezo wako wa kufikiri na kuelewa waachie wanaoelewa wewe endelea na upambe hahahahaha

- Mimi Straight talker sichanganyi maneno nakupa ukweli utaamua mwenyewe kujibeba and I could careless na maneno maneno yako ya kunafiki, ni kweli sikumuunga mkono JK, so is Mangula, so is Nape, so is Lukuvi, jifunze maana Demokrasia kwamba uchaguzi ukiisha tunaungana for the best interest of the Nation, mnafikiri siasa ni Yanga na Simba kazi kukumbusha nonsense nakuku,mbusha sana kwamba ni kweli nilimpinga JK na he is my friend na anajua sana na mpaka sasa we are still friends ingawa kuna watu kama wewe mnaodhani ukiwa rafiki na Rais lazima akupe UDC akili ndogo sana!! hahahahaha

Le Mutuz
 
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

- Mkuu sijawahi kuandikia mate na wino upo hii ndio ofisi yangu at Tancot House 2nd fl, ni ofisi ambayo zamani ilikuwa ya Mwapachu Meneja wa Air Tanzania zamani ipo hapa town kabisa opposite na Sukari House ni Ofisi ya "Blogu ya Wananchi Media Company Ltd", nimeanzisha Mwaka 2012 na sasa ina Vijana 5 wafanyakazi,

- Halafu unajua ni vigumu sana kusema njia ambayo hukuipitia ina maana kwamba wewe niliwahi kukutafutia wanaume ndio maana unajua hizo habari hahahahahahaha, anyways kama unataka kutangaza matangazo ya biashara yako online njoo hapa ofisini utasaidiwa wapo watu hapa nikiwa sipo, hahahahahaha

Le Mutuz

mkuu may I let you know that,holding an office in down town is not a big deal,what matters is the amount you earn from that office.
cha pili you just umemjibu mdau mmoja hapo kwamba hao mabint unao wanadi mitandaoni are you clients or customers ( whatever name you call them) that's why nikakuuliza mbona sijaona product yoyote wanao tangaza a part from their half naked bodies,does it mean you advertise them?anyway that's not a big deal to me.
let me bring to your attention kitu kimoja,with business you can operate from home na bado uka make chapaa,so having an office in CBD is not a big deal at all.
watu wengi wanefungua ma ofisi down town lakini mwisho wa siku wame end up kuzifunga baafa ya rent ya mwaka kuisha ,Kama ume maintain ofisi yako since 2012 unavyo claim then naomba nikupongeze kwa hilo,keep it up big daddy.
back to the topic,naona umeanza ku claim kwamba mgombea flani anajaza watu kwenye mikutano yake,na anapaswa kupitishwa na ccm coz of the attendance,is that the only way to prove that the guy is the peoples choice?
kumbuka sio wote waendao hospital ni wagonjwa ,wengine wanaenda kuwaona wagonjwa man.
nani asiyejua kwamba people are ferried from differed places to attend those rallies,arusha ilikuaje,mbeya mwanza etc.
naomba utuambie uadilifu wa lowasa compared to judge Rama? Kama kashfa no matter Kama ni za kueli au uongo BTW these two guys nani anaongoza kwa kashfa?
let me mention some if the few scandals za huyo mgombea wako,Our Ranches,General tyre,Aicc,Richmond why only lowasa??
your dad once said that the guy is not fit to hold the highest office in the country,Nina imani your dad knows the chap more than you,wewe Una facts zipi za kupingana na mzee wako?
Kama ulisaidia kamati ya Richmond kum pin down lowasa the way you claim ,Leo umepata guts wapi za kumsifia,foes it mean Yale ya Richmond tuyasahau na Ku move on au ndio kusema funika kombe mwana haramu spite?
my point is this,you may take it to the bank or not,kwani ndani ya ccm hakuna MTU mwingine zaidi ya lowasa? judge Hana makunfi wala kashfa,makongoro Hana kashfa,why only lowasa???
 
Naona lazima wote wakubali kuwa Lowassa ndiye atakayepitishwa na chama... Lizaboni ona kaka yako Nape keshakubali yaishe
ImageUploadedByJamiiForums1436491923.724296.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hili ni swali zuri sana!

Kwanza, kupoteza dira ama mrengo. CCM ni chama cha kijamaa ama cha kibepari. Hakuna swali gumu kuliko maswali yote hata kwa mwenyekiti wa Taifa kama swali hili. Sasa kama wenyewe hawajui wanaenda wapi tunategemea nini! They are neither socialists nor capitalists!

Pili, tatizo la kubwa ni kutoka katika misingi ya kidemokrasia, haki na usawa ambavyo ndiyo vitu vilivyotegemewa kuunda mfumo mzima wa chama hicho. Unapotoka kwenye mstari uliotakiwa kuufuatwa basi mjue kuwa mmeshapoteza dira. Chama kinaendeshwa katika mfumo wa demokrasia ya mazingaombwe. Hakuna haki wala usawa katika chama na katika utawala wa kuendesha nchi. Watu waliwekwa kwenye nafasi ya uongozi kwa sababu ni wa dini gani, kabila gani na vigezo vingine visivyokuwa na sifa za demokrasia na haki na usawa katika utawala bora. Na ndio maana kuna wagombea 38, kwa sababu hamna utawala unaofuata misingi ya demokrasia. Hili pia lilivunjwa tangu kuanzishwa kwa chama hicho.

Tatu, tabia mbaya za unafiki na kutokuwa wa kweli. Unafiki uliopo CCM ni wakupindukia. Wanalijua lakini hamna wakulikemea kwani wengi wao wamefika kwenye nafasi za juu kwa sababu ya huo nafiki. Hili limekithiri. Waziri mkuu aliyekuwa afukuzwe na bunge anaitwa waziri mkuu mstaafu. Wezi wanajulikana lakini kwa unafiki wao hamna anayewazungumza au kuwafunga, hili ni tangu enzi za mwalimu na siyo kwa mkapa na kikwete.

Nne, ufinyu wa kufikiri. Kuna watu wachache wenye upeo mkubwa sana ndani ya CCM lakini wengi wao upeo wao ni mdogo sana hivyo kuwafanya hata wale wenye upeo mkubwa kuogopa nakujiona kuwa wao ndiyo wenye matatizo. Hili sio tatizo la CCM bali ni janga la taifa. Ufinyu wa mawazo ndiyo maana chama hicho hakijasogea. Sijawahi kuona watu duniani ambao hawathamini wataalam kama ccm. Sijawahi kuona wanasiasa wanajiona wanamajibu kuliko wataalam. Duniani kote mtaalam kwanza halafu wanasera baadae lakini sio kwa ccm. Hili nalo linatokana na umaskini ambao ni wa kujitakia na ukikumbatiwa na wenye ccm.

Tano, Ubinafsi uliokithiri, kama wewe upo radhi ule mbegu kwa sababu hupendi kula kiporo basi ujue wewe hata kuitwa binadamu hustahili. Wengi watu wa ccm wapo hivyo. je kulikuwa kuna ulazima kwa wao kupitia muswada wa mafuta na gesi kwa spidi ya mwanga kama walivyofanya mwanzoni mwa wiki hii? Huu ni ubinafsi gani? Hawa ni watu wapo radhi wadhulumu nafsi zao wenyewe (watoto na wajukuu zao). Kama watu wapo radhi kupunguza kigezo cha ufaulu kwa wanafunzi ili serikali ionekane imepasisha watoto wengi basi ujue kuwa wapo radhi baadae wawe na marubani wasiokuwa na uwezo lakini waone ndege zikiruka na wao na familia zao wakiwemo ndani!!!!

Sita, chama cha nyerere! mara nyingi utasikia chama cha nyerere n.k! Kwa hiyo wanategemea nini baada ya kufariki kwa nyerere huyo. Kutofuata demokrasia na kung'ang'aniza vitu ambavyo havikuwa na tija kwa nchi na watu kumkubalia kwa kumuogopa lilikuwa ni tatizo kubwa. Inaonekana mpaka leo fikra za mwalimu nyerere zinadumu hata kama zilikuwa kandamizi! Kwa mfano, eti hatuwezi kumchagua mtu kutoka kwenye kabila maarufu au kubwa! Sababu? Eti kwa sababu Nyerere alisema au alifanyaga hivyo! Hivi sisi kama hatutaki kujiunza kwa wahaya, wachagga, wamasai na wanyakyusa kwa nini wana maendeleo ya elimu, kijamii na uchumi wewe unataka kujifunza kwa nani na nini! Mawazo finyu na duni sana.

Saba, Madaraka makubwa kwa mtu ama watu wachache. Kwa ubinafsi wao waliounda ccm wakiwemo wazee wenu kwa uchu wao wa madaraka wametengeneza katiba ya ccm na ya nchi kwa kujilimbikizia madaraka makubwa sana. Hivyo kufanya mtu kufanya maamuzi makubwa yasiyo ya kitaalam ambayo yataigharimu nchi. Leo waziri mkuu katoa kibali cha kuingiza sukari kwa sababu ccm wanahitaji hela za uchaguzi bila kujali familia laki mbili na nusu zenye kutegemea miwa na viwanda vya sukari hapa nchini! Watu wa kilombero, kagera na mtibwa wanamuajibishaje waziri mkuu huyo ambaye keshokutwa hayupo madarakani! Waziri mkuu ambaye wao hawamchagui na hana undugu wowote nao zaidi ya kuitwa mtanzania!

Kwa bahati mbaya mie siyo mwandishi mzuri lakini tukijakutafakari kama nchi utakuja kuona kuwa hivyo nilivyoviainisha hapo juu ndivyo vinavyoongoza nchi yetu hii kupitia kwa ccm na kuleta hii hali tuliokuwa nayo. Uozo huu mkubwa wa ccm umeonekana mwaka huu na utaendelea kuonekana mpaka kitakapo vunjika. Uozo huu ulianzishwa na waasisi wa chama hicho kwani makosa yao makubwa yalikuwa ni sababu nilizozitaja hapo juu yakiambatana na heshima ya uwoga kwa Nyerere. Ukizichukua sababu hizo nilizozitaja na pia kuziamisha kwenye mfumo wa utawala basi unaona kuwa hakuna jipya litakalo tokana na ccm zaidi ya kutoa matatizo megine makubwa zaidi ambayo yataitumbukiza nchi hii katika majanga.
 
Lemutuz umetisha Baba mkubwa wangu......kweli wewe digrii 3
Siyo ushabiki wala kutafta nafasi za kisiasa ila umezungumza ukweli ambao wengi hatutaki kuusikia.Viva William
 
Lemutuz umetisha Baba mkubwa wangu......kweli wewe digrii 3
Siyo ushabiki wala kutafta nafasi za kisiasa ila umezungumza ukweli ambao wengi hatutaki kuusikia.Viva William
Huyo anaemuunga mkono Leo alishawahi kumtukana na kumpinga na watu Wa Kambi yake kama sio unafiki na kuanza kujirudi ni nn
 
Lemutuz umetisha Baba mkubwa wangu......kweli wewe digrii 3
Siyo ushabiki wala kutafta nafasi za kisiasa ila umezungumza ukweli ambao wengi hatutaki kuusikia.Viva William
Huyo ni mnafiki kashaona "chansi" ya kupiga hela ndio maana anajisogeza kwa huyo jamaa.Muda wote alikuwa wapi kukemea haya maana yeye ni kiongozi wa Jumuiya ya Wazazi.Muda wote kwenye vikao vya chama ilikuwa kupiga picha na viongozi wakuu na kusahau evidence na facts kuzisemea ndani ya vikao vya chama.Le mutuz umechelewa sana na facts na evidence zako na mwishowe utaonekena mchumia tumbo.
 
- Hivi wewe mburulazzz kweli unaamini ninahitaji sifa za mjinga kama wewe? No way keep sifa zako nenda shule this topic is too complicated kwa akili yako ndogo sana so keep out of this kwa faida yako mwenyewe hahahahahaha

Le Mutuz
Nakumbuka nilipokutana na dada yako mnayechangia baba (jina sitaji maana JF haikubaliki ila anaweza kuwa Rais wa inchi hii) alisema walishakukanya mpaka wakachoka hivyo nakusamehe. Ukikua (kiakili si kimwili) utakuwa mtu safi sana. Pole
 
mkuu may I let you know that,holding an office in down town is not a big deal,what matters is the amount you earn from that office.
cha pili you just umemjibu mdau mmoja hapo kwamba hao mabint unao wanadi mitandaoni are you clients or customers ( whatever name you call them) that's why nikakuuliza mbona sijaona product yoyote wanao tangaza a part from their half naked bodies,does it mean you advertise them?anyway that's not a big deal to me.
let me bring to your attention kitu kimoja,with business you can operate from home na bado uka make chapaa,so having an office in CBD is not a big deal at all.
watu wengi wanefungua ma ofisi down town lakini mwisho wa siku wame end up kuzifunga baafa ya rent ya mwaka kuisha ,Kama ume maintain ofisi yako since 2012 unavyo claim then naomba nikupongeze kwa hilo,keep it up big daddy.
back to the topic,naona umeanza ku claim kwamba mgombea flani anajaza watu kwenye mikutano yake,na anapaswa kupitishwa na ccm coz of the attendance,is that the only way to prove that the guy is the peoples choice?
kumbuka sio wote waendao hospital ni wagonjwa ,wengine wanaenda kuwaona wagonjwa man.
nani asiyejua kwamba people are ferried from differed places to attend those rallies,arusha ilikuaje,mbeya mwanza etc.
naomba utuambie uadilifu wa lowasa compared to judge Rama? Kama kashfa no matter Kama ni za kueli au uongo BTW these two guys nani anaongoza kwa kashfa?
let me mention some if the few scandals za huyo mgombea wako,Our Ranches,General tyre,Aicc,Richmond why only lowasa??
your dad once said that the guy is not fit to hold the highest office in the country,Nina imani your dad knows the chap more than you,wewe Una facts zipi za kupingana na mzee wako?
Kama ulisaidia kamati ya Richmond kum pin down lowasa the way you claim ,Leo umepata guts wapi za kumsifia,foes it mean Yale ya Richmond tuyasahau na Ku move on au ndio kusema funika kombe mwana haramu spite?
my point is this,you may take it to the bank or not,kwani ndani ya ccm hakuna MTU mwingine zaidi ya lowasa? judge Hana makunfi wala kashfa,makongoro Hana kashfa,why only lowasa???
.well said
 
umeandika kwa busara sana le mutuz bila kujali kuna watakaoekereka na bandiko kutokana na itikadi zao na ushabiki wao.nikupongeze kwa kusimama katika kweli,hujampendelea hata dada yako.hongera kwa bandiko linalokutofautisha sana na namna sehemu kubwa ya jamii inavyokuona.

Tatizo ni kwamba ameuliza maswali ambayo majibu yake anayo tayari. Si kweli kwamba hao wanaodaiwa kuwa wachafu wote ni wasafi..yawezekana wengine wanasingiziwa baadhi ya mambo kwa sababu hizo hizo za kugombania ofisi kuu. Lakini yapo mengine tunayajua, na mengine ameyasema yeye mwenyewe Le Mutuz. Jambo la wazi si kwamba hao watu ni wasafi, ila ni kwamba CCM imewakumbatia wachafu hao halafu leo inajidai eti inaogopa kuchafuka! maajabu hayo. Walijaribu kujivua magamba wakashindwa, na huo wa kutangaza kuvuana magamba ndiyo ishara tosha kuwa CCM wamo wachafu wengi tu.

Kwa sababu hiyo ndugu W. J. Malecela, ni kweli hao jamaa ni wachafu, na CCM kutowachukulia hatua muda wote haimaanishi kwamba ni wasafi, ni kwa sababu tu CCM inapenda na kulea watu wachafu kwa sababu nayo ni chafu. Period!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom