Recent content by urio f

  1. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tumuandae Membe kugombea urais 2020

    Mkakati wa kuwatambua uanze sasa
  2. U

    JamiiForums Tanzania Wapambe na Mashabiki wa Makanikia Mnaharibu Mambo!!!

    We maneno mengi Lakini hakuna kitu
  3. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tumuandae Membe kugombea urais 2020

    CHADEMA hakiendekezi ukabila
  4. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tumuandae Membe kugombea urais 2020

    Ushauri wangu unafaa halafu unasema sina busara?
  5. U

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka katika ubora wake

    Lissu asikilizwe nn kwa ushauri huo mbaya
  6. U

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima naamini sasa utakuwa umeona aina ya Spika uliekuwa unamtetea

    Kwa utovu huo wa nidhamu alioonesha Mnyika,alistahili adhabu
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Mnyika alistahili adhabu hiyo
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Spika ameonyesha upendeleo, na kanuni hazimpi mamlaka ya kunifungia bunge

    Alistahili kabisa adhabu hii.
  9. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tumuandae Membe kugombea urais 2020

    Matusi tena!
  10. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tumuandae Membe kugombea urais 2020

    Lakini hawezi kuupata urais kupitia CCM.Hata naamini anajua.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Elimu: Hoja sio ubovu wa mkataba bali hoja ni wizi unaofanywa na muwekezaji!

    Wewe bado unamsikiliza huyu.Kwanza hana hekima wala uzalendo.Amejaa ubishi na kujiona anajua kila kitu.
  12. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tumuandae Membe kugombea urais 2020

    Mimi naamini Lissu hatatusaidia sana kuchota watu toka CCM 2020.Yeye tumwandae kwa baadaye zaidi.Umri wake bado unaruhusu.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Elimu: Hoja sio ubovu wa mkataba bali hoja ni wizi unaofanywa na muwekezaji!

    Lissu ni mtu aliyekosa hekima na uzalendo.
  14. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tumuandae Membe kugombea urais 2020

    Ni maoni yangu tu.Lakini ni vizuri tuanze kuandaa mtu.
  15. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tumuandae Membe kugombea urais 2020

    Mzee Lowassa amechoka na hana mvuto tena kwa wananchi kama mwaka 2015.Napendekeza Membe aanze kufuatiliwa kuona kama atakuwa tayari kujiunga na CDM.Membe kwa sasa ni mtaji mkubwa kwa CDM.Najua kina Nape,Kikwete,Ghasia,Wenyeviti na makatibu wa CCM walioachwa na CCM na wengine wengi watamuunga...
Back
Top Bottom