EWGM's
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 1,521
- 2,112
Tuweke record sawa kwanini kwenye hili la makanikia great thinkers wanapigia kelele kuwa hatua ambazo serikali imechukua si sahihi. Dhamila ya serikali ni njema kabisa ila hatua siyo sahihi na gharama zake ni kubwa mno kuzilipaa na za muda mrefu kuliko hata hicho kiasi cha makanikia yenyewe. Ili dhamira itimie lazima hatua sahihi zichuliwe na zifuatwe kwa umakini mkubwa.
Hili jambo liko very complex lakini mmekubali kumuachia mtu mmoja kuchukua maamuzi kutokana na hisia zake tu na pia kwa kuwa katiba inaruhusu. Cha kushangaza huyu bwana mkubwa ameshashiriki kwenye maamuzi mengi mazito ya nchi hii ambayo kwa asilimia kubwa amelitia hasara tu taifa. Na hapa ndiyo kwenye tatizo sababu kama mnakumbuka kale ka-clip kanakozunguka kinachomuonyesha JPM yuko kijiweni anapiga soga na marafiki zake akiwemo C. Kitwanga, MP.
Anaongea vitu kirahisi rahisi tu “temperature hii… inayeyusha silver” na kadha wa kadha. Na hapo ndipo anapotia shaka sababu kwenye jambo lolote complex kama hili kuna taratibu (analytical approach) za kufuatwa ili liweze kutatuliwa kiufasaha na si kwa soga za vijiweni. Analytical approach is the use of an appropriate process to break a problem down into the smaller pieces necessary to solve it. Lakini pia ili analytical approach itoe majibu sahihi kuna miiko yake inabidi iepukwe;
· moja usilikabili jambo (complex) kama hili la makanikia tayari ukiwa na nia ya hitimisho/jibu unalolitaka wewe kama tulivyoona mazungumzo ya JPM kwenye kale ka-clip.
· pili wakati unavyolishugulikia usikomalie substances (makanikia, maneno ya watu) tu nakujisahau mwelekeo/taratibu za kufuata ili kupata lile unalolipenda au kukusudia na kusahahu makando kando mengine kama tulivyoona kwenye ripoti ya Prof. Mruma. Kwa wachumi hii inaitwa (phenomenon satisficing)
· tatu kushupalia vitu na mambo yasiyo na msingi na kusahau mlolongo mzima unataka nini? Ego mara nyingi ina madhara makubwa sana.
Kwa maelezo zaidi kuhusu analytical approach na ili muwezu kumuelewe Tundu Lissu vizuri anapigania nini, Fred Mpendazoe na wengine tafuteni kitabu cha Morgan D. Jones, former CIA analyst: The Thinker's Toolkit, 1995. The book contains 14 powerful analytical techniques for solving difficult problems. Hivyo Tundu Lissu anaongelea kwenye capacity yake kama mwanasheria kuwa tumechukua maamuzi kwa ushabiki na kusahahu mengine, hivyo technically zoezi zima litakuwa na gharama kubwa kuliko hii tunayotaka kuilinda. Kimsingi Lissu analalamikia process iliyofuatwa siyo sahihi. Na kisheria yuko sahihi kabisa lakini wenye akili ndogo bila hata weredi wa sheria wanatumia maneno mengi ya khanga kumpinga.
Wote tunajua kwamba kama taifa lengo letu ni moja, kutunza na kulinda rasilimali za taifa kwa umoja. Lakini kama wote tunakubali kuongozwa na akili moja na ikatufanya wote tuwe na fikra sawa na yeye (the same level of thinking) bila kushughulisha uwezo wetu wa kufikiri na nafasi zetu basi huko tunakoenda ni hatari zaidi. Nahisi hii inatokana na maamuzi ya vitisho na wasomi wengi wa nchi hii hawajiamini kiasi cha kufikia kiwango chao cha fikra na ubongo kujifunga. Pia inachangiwa na idadi kubwa ya watu wajinga kuongezeka maradufu kwenye nchi hii. Na kwa kuwa tumefika level hiyo basi kila jambo tutakalo taka kulitatua hata tukifata analytical approach itatuletea matokeo ya “instinctive approach”.
Na wale watakao tumia nafasi zao kufikiri tofauti na akili zilizo lala ambazo ni wengi mara nyingi huonekana watu wa ajabu na tofauti kwenye jamii. Ili tupate matokeo sahihi kwenye matatizo yetu lazima tuwe more comprehensive and more effective hivyo analytical approach yetu kwenye matatizo kama haya itakuwa “structured approach”. Kwenye structured approach always the mind remains open, enabling one to examine each element of the decision or problem separately, systematically, and sufficiently, ensuring that all alternatives are considered. Na huku ndiko aliko Tundu Lissu lakini kinachoshangaza Watanzania wengi na wengine wasomi wanashindwa kuelewa hili.
Kuonyesha kwamba mambo si sawa hata ndani ya serikali yenyewe na chama chake wanalumbana kuwa ripoti ya Prof. Mruma ni “Bashite”. Kusema kweli vitu vingine ni aibu sana, ACACIA wanasema ripoti ni ya hovyo wala haihitaji an expert kuikosoa/kuona makosa wakati imeandikwa, kuratibiwa na kusimamiwa na Professor. Kwanini Prof. Mruma amekubali kujiaibisha hivi? Kwanini watu wanatumia utapeli wa kujiita wazalendo lakini kiukweli maslahi yao binafsi au vyama vyao ndiyo namba moja kwenye kila jambo linalohusu nchi hii??
Beware!! that shining light at the end of the tunnel suddenly turns to be an oncoming train at high speed
NB. MOD’s please msiunganishe huu uzi na mwingine wowote