CHADEMA tumuandae Membe kugombea urais 2020

Mzee Lowassa amechoka na hana mvuto tena kwa wananchi kama mwaka 2015.Napendekeza Membe aanze kufuatiliwa kuona kama atakuwa tayari kujiunga na CDM.Membe kwa sasa ni mtaji mkubwa kwa CDM.Najua kina Nape,Kikwete,Ghasia,Wenyeviti na makatibu wa CCM walioachwa na CCM na wengine wengi watamuunga mkono.Hapo ushindi ni dhahiri.Ni vizuri Lowassa akaanza kujulishwa mapema.Maana huyu Mzee ni king'ang'anizi.Atatufanya kama alivyowafanya CCM.Akiendelea kuachwa atumie vipesa vyake kwenye uendeshaji wa CDM atatupa shida huko mbeleni.Aambiwe kabisa.
Nia yako OVU haitafanikiwa kwa kumbabaikia huyu (Membe) na kumponda yile (Lowassa).

Huna busara hata kama Ushauri wako unafaa hakuna atakayeukubali. Jiepushe kudhalilisha watu!
 
Duuh ! Mkuu acha demokrasia ichukue mkondo wake. Akina sisi tupo tutachukua fomu ya urais kupitia chadema na tutafanya vizuri. Hakuna haja ya kumtafuta mgombea nje ya utaratibu tuliyojiwekea
Mbona mlimkodi lowass?
 
Nia yako OVU haitafanikiwa kwa kumbabaikia huyu (Membe) na kumponda yile (Lowassa).

Huna busara hata kama Ushauri wako unafaa hakuna atakayeukubali. Jiepushe kudhalilisha watu!
Ushauri wangu unafaa halafu unasema sina busara?
 
Mzee Lowassa amechoka na hana mvuto tena kwa wananchi kama mwaka 2015.Napendekeza Membe aanze kufuatiliwa kuona kama atakuwa tayari kujiunga na CDM.Membe kwa sasa ni mtaji mkubwa kwa CDM.Najua kina Nape,Kikwete,Ghasia,Wenyeviti na makatibu wa CCM walioachwa na CCM na wengine wengi watamuunga mkono.Hapo ushindi ni dhahiri.Ni vizuri Lowassa akaanza kujulishwa mapema.Maana huyu Mzee ni king'ang'anizi.Atatufanya kama alivyowafanya CCM.Akiendelea kuachwa atumie vipesa vyake kwenye uendeshaji wa CDM atatupa shida huko mbeleni.Aambiwe kabisa.
vijana wa lumumba bhana mna cheap politics mpaka huruma
 
Mzee Lowassa amechoka na hana mvuto tena kwa wananchi kama mwaka 2015.Napendekeza Membe aanze kufuatiliwa kuona kama atakuwa tayari kujiunga na CDM.Membe kwa sasa ni mtaji mkubwa kwa CDM.Najua kina Nape,Kikwete,Ghasia,Wenyeviti na makatibu wa CCM walioachwa na CCM na wengine wengi watamuunga mkono.Hapo ushindi ni dhahiri.Ni vizuri Lowassa akaanza kujulishwa mapema.Maana huyu Mzee ni king'ang'anizi.Atatufanya kama alivyowafanya CCM.Akiendelea kuachwa atumie vipesa vyake kwenye uendeshaji wa CDM atatupa shida huko mbeleni.Aambiwe kabisa.

Hizi short-cut siyo sustainable. CHADEMA inapaswa iwe na strategy ya kuwaandaa viongozi wake na si kusubiri mabaki kutoka CCM
 
My Schoolmate-Paul Nitze School of Advanced International Studies, could make it better than.....
 
Not easy. Magufuli he has more than 7 years to go. And he is in the right track. Is doing fine for now.
 
Nia yako OVU haitafanikiwa kwa kumbabaikia huyu (Membe) na kumponda yile (Lowassa).

Huna busara hata kama Ushauri wako unafaa hakuna atakayeukubali. Jiepushe kudhalilisha watu!
🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom