Mzee Lowassa amechoka na hana mvuto tena kwa wananchi kama mwaka 2015.Napendekeza Membe aanze kufuatiliwa kuona kama atakuwa tayari kujiunga na CDM.Membe kwa sasa ni mtaji mkubwa kwa CDM.Najua kina Nape,Kikwete,Ghasia,Wenyeviti na makatibu wa CCM walioachwa na CCM na wengine wengi watamuunga mkono.Hapo ushindi ni dhahiri.Ni vizuri Lowassa akaanza kujulishwa mapema.Maana huyu Mzee ni king'ang'anizi.Atatufanya kama alivyowafanya CCM.Akiendelea kuachwa atumie vipesa vyake kwenye uendeshaji wa CDM atatupa shida huko mbeleni.Aambiwe kabisa.