CHADEMA tumuandae Membe kugombea urais 2020

Mzee Lowassa amechoka na hana mvuto tena kwa wananchi kama mwaka 2015.Napendekeza Membe aanze kufuatiliwa kuona kama atakuwa tayari kujiunga na CDM.Membe kwa sasa ni mtaji mkubwa kwa CDM.Najua kina Nape,Kikwete,Ghasia,Wenyeviti na makatibu wa CCM walioachwa na CCM na wengine wengi watamuunga mkono.Hapo ushindi ni dhahiri.Ni vizuri Lowassa akaanza kujulishwa mapema.Maana huyu Mzee ni king'ang'anizi.Atatufanya kama alivyowafanya CCM.Akiendelea kuachwa atumie vipesa vyake kwenye uendeshaji wa CDM atatupa shida huko mbeleni.Aambiwe kabisa.
Chadema isimamishe mgombea urais kutoka lindi? Wewe huijui chadema vizuri
 
2020 membe atapitia CCM, kijana mwingine ni yule aliyegombea ubunge 2010 na 2015 jimbo la Buyungu kupitia CCM
 
Ni ukweli mzee lowasa kachoka achukue nafasi ya mareham mzee ndesamulo uwenyekiti wa kanda na mkoa
Kama mwenzie sumaye toka uwaziri mkuu hadi uwenyekiti wa kanda ya pwani pamemfit
haaaaaa haaaa maajabu
 
Mzee Lowassa amechoka na hana mvuto tena kwa wananchi kama mwaka 2015.Napendekeza Membe aanze kufuatiliwa kuona kama atakuwa tayari kujiunga na CDM.Membe kwa sasa ni mtaji mkubwa kwa CDM.Najua kina Nape,Kikwete,Ghasia,Wenyeviti na makatibu wa CCM walioachwa na CCM na wengine wengi watamuunga mkono.Hapo ushindi ni dhahiri.Ni vizuri Lowassa akaanza kujulishwa mapema.Maana huyu Mzee ni king'ang'anizi.Atatufanya kama alivyowafanya CCM.Akiendelea kuachwa atumie vipesa vyake kwenye uendeshaji wa CDM atatupa shida huko mbeleni.Aambiwe kabisa.
Membe ana pesa za kutosha ya kumlipa mwenyekiti wa chama ili ampe fursa ya kugombea uraisi?
 
Wazee wa kukopa wagombea katika ubora wao..
 
Duuh ! Mkuu acha demokrasia ichukue mkondo wake. Akina sisi tupo tutachukua fomu ya urais kupitia chadema na tutafanya vizuri. Hakuna haja ya kumtafuta mgombea nje ya utaratibu tuliyojiwekea

Democrasia haipo Congo na ni nchi ya Kidemokrasia, itakuwa CDM? Acha vituko wewe.
 
Mzee Lowassa amechoka na hana mvuto tena kwa wananchi kama mwaka 2015.Napendekeza Membe aanze kufuatiliwa kuona kama atakuwa tayari kujiunga na CDM.Membe kwa sasa ni mtaji mkubwa kwa CDM.Najua kina Nape,Kikwete,Ghasia,Wenyeviti na makatibu wa CCM walioachwa na CCM na wengine wengi watamuunga mkono.Hapo ushindi ni dhahiri.Ni vizuri Lowassa akaanza kujulishwa mapema.Maana huyu Mzee ni king'ang'anizi.Atatufanya kama alivyowafanya CCM.Akiendelea kuachwa atumie vipesa vyake kwenye uendeshaji wa CDM atatupa shida huko mbeleni.Aambiwe kabisa.
Na hapo posho inakuwa imeingia au??
 
Hilo kosa mnalifanya kila uchaguzi mkuu.
Ni vigumu sana kuingia Ikulu kwa kutegemea wanachama wa ccm.Kwani chadema hakuna kabisa strategist wa kuwatengenezea mikakati ya ushindi hata mtamani kutumia mamluki?
Somo alilowadokeza Slaa kuhusu asset na liability halijawakaa|?
 
Mzee Lowassa amechoka na hana mvuto tena kwa wananchi kama mwaka 2015.Napendekeza Membe aanze kufuatiliwa kuona kama atakuwa tayari kujiunga na CDM.Membe kwa sasa ni mtaji mkubwa kwa CDM.Najua kina Nape,Kikwete,Ghasia,Wenyeviti na makatibu wa CCM walioachwa na CCM na wengine wengi watamuunga mkono.Hapo ushindi ni dhahiri.Ni vizuri Lowassa akaanza kujulishwa mapema.Maana huyu Mzee ni king'ang'anizi.Atatufanya kama alivyowafanya CCM.Akiendelea kuachwa atumie vipesa vyake kwenye uendeshaji wa CDM atatupa shida huko mbeleni.Aambiwe kabisa.
Hee mnachagua hata bado,kwani na nyinyi ni wajumbe wa chadema?ama kweli CCM bwana
 
So unataka kumanisha Cdm hawana president figure ndio maana walikodi mgombea urais au?
 
Back
Top Bottom