Pole sana kwa kuwa katika mkanganyiko. Ila ukinifuatilia kwa makini hutakuwa kwenye mkanganyiko tena.
Umesema vyema Mathayo, Luka, Yohana na Marko walikuwa mashahidi wa macho wa maisha ya Yesu. Na ukweli mkubwa zaidi ambao haukuujua bado kulikuwa na watu zaidi ya mia 500 waliokuwa mashahidi...
Wokovu ni nini?
Au Kuokoka ni Nini?
Kwa mara ya kwanza katika nyaraka neno “wokovu” linatajwa ni katika kitabu cha Warumi. Warumi 1:16 Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye, kwa Myahudi kwanza, na kwa Myunani pia.
Neno Wokovu...
Incubator yenye ufanisi wa juu ya mayai 300🎊
✅ Inafaa kwa Aina Mbalimbali za Mayai: Inakidhi mahitaji ya mayai ya kuku, bata, njiwa, na hata kanga.
✅ Full Automatic: Inageuza mayai yenyewe, ikipunguza kazi yako na kuongeza ufanisi wa uzalishaji.
😀 Rafiki kwa Mtumiaji: Mfumo rahisi wa kutumia...
Habari wanaJF
Ni hitaji la kila mtu kuwa nyumba bora ya kuishi. Katika hatua za ujenzi tunajua kusimamisha jengo sio shughuli sana.
Kazi inakuja kwenye kufanya finishing ambapo gharama zinaweza kwenda hata mara 2 au 3 ya gharama za kusimamisha jengo kutegemea na ubora wa materials za...
Kuwepo kwa matapeli lukuki katika imani hakufanyi kila anayeabudu kuwa tapeli.
Una akili pia za kupambanua yule ni wa kweli na yupi ni tapeli.
Kama unaweza kuwa na taarifa ya kunifaa kuhusu request yangu karibu sana.
Nilijua hapa pia kutatokea majibu yasiyofaa na ya wenye hekima.
Asanteni
Ukumbi au eneo la kukodi kwa ajili ya kufanya ibada za kanisa linahitajika.
Uwe maeneo ya Ubungo, Mwenge, Sinza au jirani kabisa na maeneo hayo.
Nipigie 0755571604 au 0783095169
Asanteni.
Incubator nzuri sana hii ya kuanzia ufugaji. Usiache kuku waendelee kuharibu mayai.
Weka mayai kwa awamu tofauti. Totolesha kwa awamu tofauti kwa urahisi kabisa.
Unaweza kuchanganya pia mayai ya ndege tofauti na wakaanguliwa vizuri kabisa.
Tumia chupa za maji kuongeza maji kwenye incubator...
Weka mayai kwa awamu tofauti. Totolesha kwa awamu tofauti kwa urahisi kabisa.
Unaweza kuchanganya pia mayai ya ndege tofauti na wakaanguliwa vizuri kabisa.
Tumia chupa za maji kuongeza maji kwenye incubator kwa urahisi kabisa kama hapo kwenye picha.
Incubator hii ni ya mayai 64. Bei yake...
Rudia tena na tena kusoma. Kuokolewa na hatari mbalimbali nao ni aina ya wokovu mwingine ila sio WOKOVU kama unaoelezewa katika maandiko matakatifu. Uko mahususi kabisa. Rudia tena kusoma kwa umakini
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
#WOKOVU vs #MWENENDO
Wokovu ni kazi ya Mungu mwenyewe; matendo mema yanachipuka kutokana na wokovu, na kazi za mwamini au kazi za mkristo sio wokovu.
Wokovu sio malipo kwa kutenda mema; wokovu ni kwa Imani katika Kristo Yesu pekee. Panapotumika neno “ujira/thawabu” katika maandiko ni...

Tatizo la uhada wa vifaa litatatuliwa lini? Ni zaidi ya miaka miwili sasa wimbo ni ule ule uhaba wa vifaa... mara tusubiri mwaka wa bajeti... miaka ya bajeti imeshapita mingapi sasa?
UMEKOMBOLEWA? INA MAANA GANI KUKOMBOLEWA?[emoji848]
Na Pastor Felician Makarios
Wakati mwingi tunaimba tumekombolewa na Yesu halafu hatukai katika kina cha maana ya maneno hayo. Tunaimba au kutamka tu kama kasuku.
Imekua kawaida katika jamii ya Kikristo, kusema tu maneno ya kidini hata kama...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.