Ukumbi au eneo la kukodi kwa ajili ya kufanya ibada za kanisa linahitajika

Urban86

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
276
127
Ukumbi au eneo la kukodi kwa ajili ya kufanya ibada za kanisa linahitajika.

Uwe maeneo ya Ubungo, Mwenge, Sinza au jirani kabisa na maeneo hayo.

Nipigie 0755571604 au 0783095169

Asanteni.
istockphoto-1319299746-612x612.jpg
 
Dah! Muda si mrefu utajikuta unaishi zako peponi kama Mwamposa. Maana utawauzia wajinga kila kitu. Kuanzia mafuta, chumvi, sabuni, lesso, maji, nk.

Na hapo ni nje ya lile fungu pendwa la 10, sadaka za miujiza, sadaka za maombi maalum! nk.
 
Kuwepo kwa matapeli lukuki katika imani hakufanyi kila anayeabudu kuwa tapeli.

Una akili pia za kupambanua yule ni wa kweli na yupi ni tapeli.

Kama unaweza kuwa na taarifa ya kunifaa kuhusu request yangu karibu sana.

Nilijua hapa pia kutatokea majibu yasiyofaa na ya wenye hekima.

Asanteni
 
Back
Top Bottom