Mi nafkr kila mtu anafanya anachoweza, yeye amejikita kwenye nyimbo za mapenzi, haina sababu kumlazimisha afanye ambazo hawezi. Remmy alikuwa anaimba nyimbo za vifo vifo, Sugu nyimbo za harakati, mr. Nice vibwwagizo vya mtaani. n.k. Kimsingi ni vizuri pia kuwa amejipambanua.