Diamond Platnumz ni fundi

Diamond Platnumz ni fundi

Diamond anakubalika sasa hivi africa nzima huwezi mlinganisha na fidq
 
Alaf kila siku mnasema diamond mbunifu.'
Kama n mbunifu atoe wimbo usiohusu mapenzi then ufunike kama yule mtoto wa k/koo..

kama ckosei unamsema yule aliyeimba wimbo wa kukiri MAPENZI YANARUN DUNIA au ?
 
Alaf kila siku mnasema diamond mbunifu.'
Kama n mbunifu atoe wimbo usiohusu mapenzi then ufunike kama yule mtoto wa k/koo..

Mi nafkr kila mtu anafanya anachoweza, yeye amejikita kwenye nyimbo za mapenzi, haina sababu kumlazimisha afanye ambazo hawezi. Remmy alikuwa anaimba nyimbo za vifo vifo, Sugu nyimbo za harakati, mr. Nice vibwwagizo vya mtaani. n.k. Kimsingi ni vizuri pia kuwa amejipambanua.
 
Back
Top Bottom