Msaada: kusafirisha mzigo kutoka USA

A2G

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
283
828
Heshima zenu wakuu

Kwa ambaye anajua kampuni ambayo inaweza kusafirisha mzigo kutoka Marekani hasa mji wa Iowa kuja Tanzania kwa njia ya ndege Naomba msaada wa mawasiliano yao

Au kama kuna mtu ameshawahi kusafirisha mzigo kwa kutumia huduma za cargo za mashirika makubwa ya ndege pia naomba aniunganishe na wahusika

Natanguliza shukurani
 
IMG-20170922-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom