Hapo wala usiilaum CCM ni vyama vyote vya Tanzania, tena huku upande pili ndio kabisaa, mara tumebalishia gia angani, yaani kwa kifupi tu maamuzi mtu mmoja tu, kule kuita sijui mkutano mkuu ni kama kutimiza wajibu tu. Tena afadhali hao wa kijani angalau wanafauta taratibu za kidemokrasia hata...