Line za TTCL

Line za TTCL

yani wanazingua balaa......kama una moderm na nokia ya tochi.,,.inabidi ukaazime smartphone uunge bando ndio uweke kwenye modem yako
Mkuu hata hiyo smartphone maeneo mengine chenga. Hakuna kitu TTCL na haitatoboa kwenye telecom industry.
 
Nadhani wenyewe wanasikia, tunategemea wataitendea haki mawasiliano, na uzuri wao hawahitaji kujenga minara mingi kwa wana minara karibu nchi nzima ni kiasi kuiongezea uwezo tu. Hata wa Litimbandiose watapata mawasiliano.
 
Line inauzwa buku 2 .. Ukiweka Jero unapewa GB 3 week nzima.. Ikiwa line ya chuo utateleza sana maaa kifurushi cha mwezi kiko beii nzuri ila line kama sio ya chuo bora utumie Airtel maana bundle lao usipime.. Yote kwa yote speed ni 4.5G
Ukitaka line ya chuo unaipataje?
 
Mkuu hata hiyo smartphone maeneo mengine chenga. Hakuna kitu TTCL na haitatoboa kwenye telecom industry.
TTCL wana update maeneo kila siku...4G yao kila kukicha wana panua coverage..tuwe wavumilivu..juzi nilkua kibaha nikaona wmefunga 4G...so far ukipata lain ya chuo na eneo zur basi kazi imekwisha..
 
Kweli hapo walikuwa kwetu hawapatikani kabisa lakini juzi nimeweka line na kitu kikasoma tena nilichofurahia 3G yao ni sawa na 4G ya tigo*.. 4G yao balaa kama Vodacom sema tu vodacom anavirufushi bora kile cha mb800 kwa 1000 na 2gb usiku kwa 1000.

*applicable eneo langu tu
 
Natumia TTCL, nikiwa mjini wako vizuri sana hasa kwenye majengo ambayo mitandao mingine inasumbua na kasi ya mtandao njema sana, tatizo ukitoka nje ya mji kidogo mpaka hamasa ya kuendelea kuutumia inashuka. Kwa wanaokaa katikati ya mji Dar nawashauri ila walio nje waangalie kama unakamata maeneo yao.
 
Line ni bure ila unaweka vocha ya sh 2500, unatumia mwezi mzima. Wako vizuri sana kwenye internet.
 
TTCL wana update maeneo kila siku...4G yao kila kukicha wana panua coverage..tuwe wavumilivu..juzi nilkua kibaha nikaona wmefunga 4G...so far ukipata lain ya chuo na eneo zur basi kazi imekwisha..
Mkuu line ya chuo nitapataje, naiihitaji japo sijui kwa Arusha upatikanaji wake ukoje hasa internet
 
Line inauzwa buku 2 .. Ukiweka Jero unapewa GB 3 week nzima.. Ikiwa line ya chuo utateleza sana maaa kifurushi cha mwezi kiko beii nzuri ila line kama sio ya chuo bora utumie Airtel maana bundle lao usipime.. Yote kwa yote speed ni 4.5G

TTCL ukitaka special namba ni bure , hakuna gharama yeyote ile. kuhusu huduma zao bado wanaendelea na ujenzi wa mawasiliano kwa kasi,Na lengo lao ni kuwafikia watanzania popote walipo nchini na wamesha tandaza Dar, Pwani,
Morogoro, Dodoma, Mbeya, Mwanza,Tanga na Zanzibar N.K jana na leo walikuwa na uzinduzi kule Tanga kunani, pamoja na Arusha ni kesho nasika wanazindua, kwa ujumla hawa jamaa wako vizuri.
- Simu yeyote yenye 3G au 4G unaweza kuweka line ya TTCL na inafanya kazi, tena wana ofa kibao ukiacha kupiga simu bure TTCL-TTCL mara uongezapo salio, si hivyo tu utapiga mitandao kwa bei ya 1.17 kwa sekunde.
- Kwa sasa wanajitahidi sana wana mawakala,na kwa yule wa mabibo hostel jitahidi utoke maeneo yako hapo barabarani au rahisi kwako ni ubungo plaza wana shop yao hapo,contact yao ni namba 100 huduma kwa wateja ni bure, ukiwa na simu ya TTCL na namba 0222100100 kwenye simu yeyote ile ila utachajiwa
- kujiunga kwenye vifurushi vya TTCL piga Code *148*30# au ingia kwy www.ttcl.co.tz na kwa maoni zaidi wana customercare@ttcl.co.tz
 
Mkuuu asante, vipi kuhusu line za chuo nitazipataje?
 
Mkuu line ya chuo nitapataje, naiihitaji japo sijui kwa Arusha upatikanaji wake ukoje hasa internet
Kupata lain ya chuo ni issue kidogo kama wewe si mwanachuo ..njia rahis ni kutafuta mtu ambae ni mwanachuo na umuombe akusajilie kwa ID yake basi .

Kuhusu Arusha sijajua maana mimi sio mkaz wa huko,nenda kweny website zao na kisha utaona office locations na utachagua arusha kisha utaona walipo.
 
Asante mkuu.
Ofisi zao najua zilipo hapa Arusha
 
Line inauzwa buku 2 .. Ukiweka Jero unapewa GB 3 week nzima.. Ikiwa line ya chuo utateleza sana maaa kifurushi cha mwezi kiko beii nzuri ila line kama sio ya chuo bora utumie Airtel maana bundle lao usipime.. Yote kwa yote speed ni 4.5G
Ya chuo wanauzaje?
 
TTCL wana update maeneo kila siku...4G yao kila kukicha wana panua coverage..tuwe wavumilivu..juzi nilkua kibaha nikaona wmefunga 4G...so far ukipata lain ya chuo na eneo zur basi kazi imekwisha..
Line zao za 4G hazisupport 3G na 2G hii ni weakness kubwa sana. Sasa mkuu sehemu kama Kolomije 4G ya nini?!
 
Nna lain ya 4G inapga 3G na 4G pia...sasa mkuu wewe 2G ya nini dunia ya leo?
 
Nazungumzia kibiashara, feature phones hazitumiki siku jizi? Ktk biashara ya mawasiliano asilimia kubwa ya subscribers wanatumia feature phones.
 
Back
Top Bottom