CCM WANAWEZA KUPITISHA KATIBA HII??

mkafrend

JF-Expert Member
May 12, 2014
3,047
1,503
Ndugu wanajf, salaam! Ni kweli kuwa CCM wamepitisha vipengere hivi ktk katiba yetu ya CCM???

1. Wajumbe wa NEC watakuwa wanatokana na Mikoa na si wilaya kama ilivyokua awali. Kwa hiyo kila mkoa utakuwa na MNEC mmoja. Utaratibu wa kuwa na wajumbe wa NEC kutoka kila wilaya umefutwa.

2. Makatibu wa Fedha na Uchumi (wa mikoa na wilaya) wamefutwa.

3. Makatibu Wasaidizi (wa mikoa na wilaya) wamefutwa.

4. Wajumbe wawili wa kuchaguliwa kwenye Kamati za Siasa (za mikoa na wilaya) wamefutwa.

5. Shirikisho la Vyuo vikuu au mkoa wa vyuo vikuu wa CCM ambao ulikua taasisi inayojitegemea, kuanzia sasa itakuwa idara ya UVCCM, na itawajibika chini ya UVCCM.

6. Wajumbe wa Kamati kuu (CC) wamepunguzwa kutoka 34 hadi 24.

7. Wajumbe wa NEC wamepungua kutoka 388 hadi 163 (watu 225 wamefyekwa).

8. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wamepungua kutoka 2,380 hadi 1,706 (watu 764 wamefyekwa).

9. Rais aliyeko madarakani ataruhusiwa kugombea kipindi cha pili mfululizo bila kupingwa ndani ya chama.

10. Kura za maoni za wabunge zitapigwa na Mkutano Mkuu wa Jimbo, na za Madiwani zitapigwa na Mkutano Mkuu wa Kata na sio wanachama wote kama ilivyokua awali.

Msakila KABENDE
ECONOMIST KAGERA
 
Tatizo kubwa sana la wanaCCM wengi ni kupenda kutumia Uti wa mgongo badala ya ubongo. Yaani kama watu wenye tatizo la mtindio wa ubongo hivi.

Mpaka leo bado yanaimba "Fikra za mwenyekiti zidumuuu". Vipengele vyote hapo ni Fikra za mwenyekiti wao ambaye leo amesema huwa anapenda sana SHILAWADU(Umbeya!)

Nadhani ndio mabadiliko ya ovyo kabisa kuwahi kutokea ndani ya CCM toka TANU ilipoundwa.
 
Hapo wala usiilaum CCM ni vyama vyote vya Tanzania, tena huku upande pili ndio kabisaa, mara tumebalishia gia angani, yaani kwa kifupi tu maamuzi mtu mmoja tu, kule kuita sijui mkutano mkuu ni kama kutimiza wajibu tu. Tena afadhali hao wa kijani angalau wanafauta taratibu za kidemokrasia hata kama wanaigiza. Huku kwetu no shida ACT mpaka UDP chama taasisi ya mtu yeye ndio kila kitu.
 
Tatizo kubwa sana la wanaCCM wengi ni kupenda kutumia Uti wa mgongo badala ya ubongo. Yaani kama watu wenye tatizo la mtindio wa ubongo hivi.

Mpaka leo bado yanaimba "Fikra za mwenyekiti zidumuuu". Vipengele vyote hapo ni Fikra za mwenyekiti wao ambaye leo amesema huwa anapenda sana SHILAWADU(Umbeya!)

Nadhani ndio mabadiliko ya ovyo kabisa kuwahi kutokea ndani ya CCM toka TANU ilipoundwa.
Kama kubadilisha gia angani kumleta mamvi na kumpitisha bila hata kufuata hatua moja ya mchakato wa kuwapata wagonbea urais kupitia chadema....

Povu linawatoka kwa hatua zilizochukuliwa na CCM lakini ndo hivyo...nyani haoni kunduuule
 
Acha kuchanganya mambo hapa.
Issue iliyopo hapa ni mabadiliko ya katiba ya CCM chini ya uenyekiti wa Magufuli.

Ujio wa Lowassa ndani ya CHADEMA then UKAWA halikuwa jambo la mabadiliko ya katiba, ni utaratibu wa chama chao katika vikao vyao tena ulikuwa ni mchakato.

Ni vyema hata ungehoji utaratibu wa Mkweree wa kuja na majina yake matano mfukoni aliyoshauriwa na Mama Salma na kuandikiwa na Rizimoko.
 
Chama chetu chadema kimegeuka kuwa kijiwe cha instagram hakuna kitu....Magufuli katuchachafya
 
CDM hainaga mtu wa hovyo kama wewe. Nadhani nyie ndio wale wa lumumba mnaoshabikia mazingira ya kutengeza raisi wa milele. Ata uganda na rwanda walianza hivi hivi taratibu.
 
Acha kuchanganya mambo hapa.
Issue iliyopo hapa ni mabadiliko ya katiba ya CCM chini ya uenyekiti wa Magufuli.

Ujio wa Lowassa ndani ya CHADEMA then UKAWA halikuwa jambo la mabadiliko ya katiba, ni utaratibu wa chama chao katika vikao vyao tena ulikuwa ni mchakato.

Ni vyema hata ungehoji utaratibu wa Mkweree wa kuja na majina yake matano mfukoni aliyoshauriwa na Mama Salma na kuandikiwa na Rizimoko.

Ni lini Uchaguzi Mkuu chadema? Na hufanyika kila baada ya muda gani? Na mara ya mwisho kufanyika ilikuwa lini? Mbowe anaondolewaje chadema Kikatiba?
 
Tatizo kubwa sana la wanaCCM wengi ni kupenda kutumia Uti wa mgongo badala ya ubongo. Yaani kama watu wenye tatizo la mtindio wa ubongo hivi.

Mpaka leo bado yanaimba "Fikra za mwenyekiti zidumuuu". Vipengele vyote hapo ni Fikra za mwenyekiti wao ambaye leo amesema huwa anapenda sana SHILAWADU(Umbeya!)

Nadhani ndio mabadiliko ya ovyo kabisa kuwahi kutokea ndani ya CCM toka TANU ilipoundwa.

..unafikiri ccm hawana akili?

..wote watakaokosa nafasi ndani ya ccm watapewa nafasi serikali.

..mwenyekiti wao amesema bila kificho na wananchi wote mumemsikia kuwa watakaokosa nafasi kwenye chama atawachukua serikalini.
 
Back
Top Bottom