Recent content by upeo

  1. U

    JamiiForums Tanzania Poket wifi ya halotel

    Wakuu naomba kw a yoyote alie wahi kutumia poket wifi y halotel unlimited, kwani muda wowote ule nitakwenda kununua naomba ushauri kuhusu speed yake, shukran wakuuu
  2. U

    JamiiForums Tanzania UKUTA UNAMBANDUKA RANGI

    Wakuu habarini Ninatatizao la ukuta wangu mara kwa mara unabanduka banduka rangi, Kama picha inavyo iyona hapo, tatizo liliianza kwamba niliinunuwa nyumba tayari ishapigwa plasta, , nikaamua kupiga skiming na baadae nikapiga rangi,baadae kuna mtu aliniambia kwamba usingepiga skiming ungepiga...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Tangazo hili la uhamisho wa watumishi wanaotaka kuwafata wenza wao wa ndoa ni la kweli?

    Wakuu nimeiona hii barua mahali, je, wakuu inaukweli? Kuna mtu anafanya kazi Tanzania Bara na anataka kwenda kufanya kazi Zanzibar kumfata mwenza, je hili tangazo linamuhusu? Je, aanzie wapi?
  4. U

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuondoa kelele za pressure pump

    Dah naam inabidi nifanye hivyo, hakuna budi
  5. U

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuondoa kelele za pressure pump

    Wakuu habari za asubuhi, Naomba msaada kidogo, kuhusu presure pump sound. Je, kuna mtaalam anaweza kunisaidi akanipa ujanja wa kuondoa kelele za pressure pump? Dah hasa usiku hulali vizuri ukifunguwa maji sauti ya pressure pump unaisikia pia huwamsha majirani je mnaweza kunisaidi pressure...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Wakuu habarini, naomba msaada huu, nini kitakujuilisha kma tubo ya gari yako imekufa? Je mlio utabadilika , au gari haitokuwa na nguvu? Sababu imenitokea saiv kwamba gari hana nguvu hata kupanda kilima, na mlio umebadilika, .
  7. U

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji Contro box ya suzuki kei

    Nshukuru mkuu
  8. U

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji Contro box ya suzuki kei

    Wakuu habarini dah naombeni msaada nimehangaika kutafuta contro box ya suzuki kei nimekosa , engine ya waya sita, naomba msaada kwani fundi kajaribu kila aina y contro box gari inakataa , kuwaka ina waka lakini kubadilisha gia ndo kwenye mtihan haikubali, naomba mtaallam anielekeze nitapat...
  9. U

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kila nikijaribu kujiunga Hazina Portal ili niombe mkopo inagoma, nifanyeje?

    Wakuu hii mikopo kwa wafanyakazi wa halmashauri tu? au mpka walimu wa vyuo vikuu lecturer wanaweza na wao wakakopa? Nashukuru
  10. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matatizo mengi ya ndoa zetu zinatokana na kutokukuta bikira wasichana tunaooa

    Dah shehe usiseme hivyo ukibahatika kupata mke bikra mshukuru allah..raha sana, anakuwa muaminifu unalomwambia anakusikiliza, mtulivu, msikivu, hapendi makuu, Labda umuharibu wewe mwenyewe kwa tabia zako chafu , lakini raha raha raha..utaiyona furaha ya ndoa,
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ya mababu zetu waliofariki kabla ya kuletewa Uislam kwasasa Wapo Motoni au peponi?

    Shekh umelijibu jibu nzuri sana
  12. U

    JamiiForums Tanzania Mfikishieni salamu Freddy Michael Koublan, lawama zote leo anabeba yeye vs Kagera

    Yule hana akili y kimpira hafai kukaa number tisa is too slow
  13. U

    JamiiForums Tanzania Unahitaji mtoto wa Kambo au Kumuasili?

    Dr asalaam aleyqum Kidogoo naomba unieleweshe Umesema kwamba ruksa imetoka kwa watanzania tu kuadapt watoto, Naomba kuuliza swali tunafahamu tz ni bara na visiwani Swali langu linakuja ,je mwananchi kutoka zanzibar ambae saiv anaishi huku bara kwa. miaka 5 Je hakuna masharti yoyote yale...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    shukran mkuu
Back
Top Bottom