Recent content by upendo_20

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Vedastus Nsanzugwanko adhuriwa na Al-Shabaab katika Shambulio la WestGate - Nairobi

    Hapa ndio napo mpenda rais wangu hakupeleka jeshi huko somalia
  2. U

    JamiiForums Tanzania jambo

    mgeni nakuja
  3. U

    JamiiForums Tanzania Wapinzani: Tarehe 10 Oktoba 2013 ni Maandamano ya nchi nzima

    Katiba ya sisi
  4. U

    JamiiForums Tanzania Jangwani: Lissu amenisikitisha!

    Upuuzi ndio upo kwenye kichwa chako kale viroba
  5. U

    JamiiForums Tanzania Wa Jangwani si mkutano wa 'wapinzani'!

    Wewe nazani hata shule hujawahi kufika sijui umefika vipi hapa jamvini?
  6. U

    JamiiForums Tanzania Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

    Wakubwa gani waumbuke live?mbona mnapenda kurukia tu kuna mkubwa gani anae ishi south africa au anae fanya kazi mahakama ya south africa?wabongo na kelele ndio mnazo zijua ndio mana hata haki zenu hamzijui mnabaki kulalamika tu
  7. U

    JamiiForums Tanzania Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

    Point yako nini hapa watu wanongelea Agness wewe unaleta habari za tindikali au unataka kusema Masogange yeye ndio muhusika wa tindikali?
  8. U

    JamiiForums Tanzania Wa Jangwani si mkutano wa 'wapinzani'!

    Katiba kwanza wapeni elimu ya uraia wajue haki zao
  9. U

    JamiiForums Tanzania Twendeni leo Jangwani tukasikilize viongozi wa vyama vikuu vya upinzani

    I wish I could have been there lakin sipo dar ningekwenda katiba ndio mkombozi wetu
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Watu watatu wa familia moja waliuawa kikatili, kwa kunyongwa na watu wasiojulikana

    Someone is behind this sio wizi tu hawawezi kuuwa mpaka kichanga hakina hata kosa lolote
  11. U

    JamiiForums Tanzania Daktari feki akamatwa katika hospitali ya muhimbili jijini dar

    Hatari kwa wapenda kutoa rushwa na short cut always cost
  12. U

    JamiiForums Tanzania Katiba yaunganisha vyama vitatu na Taasisi za Kiislamu ...picha

    Sheikh Ponda
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mh.Sitta amekiri Serikali ya sasa ni dhaifu

    Doesn't make an sense at all
  14. U

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya upinzani; polisi wajiweka tayari.

    Wacha upuuuzi wee hao polisi wamebariki huo mkutano usilete udaku hapa wewe kilaza
  15. U

    JamiiForums Tanzania KAMATI ya KITAIFA ya KUMPOKEA MASOGANGE FineASS YAUNDWA

    Wewe mbona unaleta udaku wakutia hasira wana nchi kamati gani ya kitaifa mbona mnaleta maneno mengi kwanza hao watu mpaka sasa hivi hatima yao bado ipo kwenye mikono ya serekali ya south africa
Back
Top Bottom