Wa Jangwani si mkutano wa 'wapinzani'!

Wa Jangwani si mkutano wa 'wapinzani'!

hili ni jukumu la tume ya mabadiliko ya katiba wengine mnavihelehele tu hakuna jipya.
 
ZeMarcopolo

Hela hoja ndugu, Watu hawajapinga maoni ya katiba, wanachopinga ni Muswada wa Sheria ya Kupitisha Katiba narudia Muswada wa sheria ya kupitisha katiba.

Maana naona unapinga na kubisha tu, huku hujuhi hata unabishania nini.

Naona wewe unapost tu cha muhimu unalipwa basi hata kama hoja huijuhi unaandika tu.

Nani kakwambia kama mswada unapingwa majukwaani badala ya bungeni mnaakili kweli nyie kwani mlichaguliwa kuwakilisha wananchi bungeni au majukwaani?
 
kama huna mchango wowote wa maana kwa mustakabali wa nchi yetu,kaa kimya ufiche ujinga wako.

wewe unayo upi, au unadhani mimi ni [font=&quot]viroba + bange + ahadi za kipumbavu = msukule

kama wewe[/font]
 
mbowe na wenzake akili zao zinafaa kutumika kwenye diaco tu basi wamekimbia bunge halafu wanakwenda kupinga mswada jukwaani .
Spika atakuwa nani na hizo hansad mwandishi ni nani hata katibu wa bunge mmemtoa wapi.
 
Kwa ulichoandika leo nimeamini kuwa Ritz ni mtupu.Yaani huelewi hada mada ya wazi kama hii?!! Shame...............
 
Last edited by a moderator:
Nani kakwambia kama mswada unapingwa majukwaani badala ya bungeni mnaakili kweli nyie kwani mlichaguliwa kuwakilisha wananchi bungeni au majukwaani?

Bunge halina mamlaka makubwa kuzidi tuliowachagua. Wabunge( wa ccm) hawajazingatia tuliyowatuma ndo maana tumeamua kukutana (wananchi/umma) wote tujadili mstakabali wetu.
 
Katiba imeshajadiliwa kwenye mabaraza. Maoni yote yameshapelekwa kwa tume.

Huo ndio utaratibu tuliokubaliana kistaarabu. Haya mengine ni siasa tu, zenye lengo la kuifanya Katiba iwe ya vyama vya siasa.

Katiba ni ya wananchi wote, sio ya Lipumba, Mbowe na Mbatia wanaoshinikiza mchakato uwe mali ya vyama vyao.

Hapo penye red unamaanisha katiba ni ya kikwete,Mrema na cheyo ambao hawajapinga mchakato?nikiwa na maana kuwa kama katiba ni ya watanzania wote ulitakiwa
kutaja kuwa katiba siyo ya viongozi wote wa siasa akiwemo kiongozi wa ccm,
Kwa mtindo huu wale walio kimya tunaamini katiba iliyoundwa ni kwa ajili ya maslahi yao.Na siyo ya watz wote.kama ni ya watanzania wote basi wanaopinga mchakato wasikilizwe na kuwakosoa kwa nguvu ya hoja na si kwa kigezo cha wengi wape.Kwa mtindo huo wa kutaka kuwanyamazisha kibabe,tusio na vyama tunaamini kuna kitu serikali ya ccm inalinda ili katiba iwe yake.
 
Katiba imeshajadiliwa kwenye mabaraza. Maoni yote yameshapelekwa kwa tume.

Huo ndio utaratibu tuliokubaliana kistaarabu. Haya mengine ni siasa tu, zenye lengo la kuifanya Katiba iwe ya vyama vya siasa.

Katiba ni ya wananchi wote, sio ya Lipumba, Mbowe na Mbatia wanaoshinikiza mchakato uwe mali ya vyama vyao.

Hujakosea magamba wanataka kutengeneza katiba yao lakini sisi wana wa nchi tunaangalia hali kwa jicho makini
 
mijitu ya lumumba kazn! Propaganda 2! Mbona n CDM, TLP na CUF na cio KIJANI kama vp vaa kijan 2one kama cio mkutano wa wapinzan
 
mbowe na wenzake akili zao zinafaa kutumika kwenye diaco tu basi wamekimbia bunge halafu wanakwenda kupinga mswada jukwaani .
Spika atakuwa nani na hizo hansad mwandishi ni nani hata katibu wa bunge mmemtoa wapi.

Na wewe akili zako zinafaa kufanyia nini? Najua weww ni form four ulierekebishiwa matokeo,unaweza kizungu kidogo

Njoo nikupe kazi,kuna mtu anatafuta Punda wa kumbebesha mzigo wa kwenda Italia unafaa sana wewe,humu jf haujui lolote
 
Demokrasia imeheshimiwa. Katika mfumo wa dekokrasia watu wachache hawawezi kulazimisha matakwa yao dhidi ya watu wengi.

Demokrasia hata wachache wanasikilizwa mkuu, na tunatunga sheria mama ya nchi kwann magamba waruhusiwe kuibaka rasimu?
 
Ndugu ZeMarcopolo,mwenzangu kama kada wa CCM uliridhishwa na upitishwaji wa Muswada husika? Kwanini?

Kikanuni mswada umepita na lazima usainiwe, mengine ni manjonjo tu, wanachoweza kufanya ni kupeleka bunge lijalo mapendekezo ya marekebisho ya sheria husika mikutano hii ni porojo tu.
 
Last edited by a moderator:
Demokrasia imeheshimiwa. Katika mfumo wa dekokrasia watu wachache hawawezi kulazimisha matakwa yao dhidi ya watu wengi.

Kwa nini Mwl Nyerere alisisitiza wachache wasikilizwe wakati wa urejeshwaji wa vyama vingi Tanzania,bado hufikirii tu.....!
 
Back
Top Bottom