umekaririshwa vibayaTatizo Jeshi la Polisi linahisi lina mamlaka ya kutoa kibali cha maandamano wakati wao kazi yao ni kupewa taarifa ya maandamano ili watoe ulinzi.
Nipo njiani naelekea ukonga, hapa tazara nimepishana na ffu wakiwa na difender 3 na gari 2 za maji ya kuwasha wakielekea mjini.
Nadhani wanajiweka tayari kwa lolote leo.
Tuombee amani, mkutano ufanyike na kuisha salama.
nikweli kabisa, amekaririshwa vibaya. Kazi ya polisi ni kulinda raia na mali zao, pale wanapoona hawawezi kutoa ulinzi wana kila haki ya kuyazui.
Usalama wa watanzania wote na mali zao ni jukumu la polisi.
Tatizo Jeshi la Polisi linahisi lina mamlaka ya kutoa kibali cha maandamano wakati wao kazi yao ni kupewa taarifa ya maandamano ili watoe ulinzi.
Tatizo Jeshi la Polisi linahisi lina mamlaka ya kutoa kibali cha maandamano wakati wao kazi yao ni kupewa taarifa ya maandamano ili watoe ulinzi.
uko sahihi kwa kiwango chako, itafte sheria ya polisi na polisi wasaidizi, inatoa haki kuzuia maandamano for some reasonable facts. Kama kamanda kaona hatari fulan, ana haki ya kuzuia na kushauri plan B. Maandamano amezuia lkn mkutano ameruhusu, na ulinzi kama kawa. Mpongeze japo kwa hilo
mng'oa kucha angalia sio kila siku ni jumamosi,zipo j2,j3 nk.Wapigwe tu