MAREHEMU ALIZALIWA 05.02.77,ENZI ZA UHAI WAKE lijishughulisha na kuua mazao ya biashara:pamba,tumbaku,kahawa.korosho,na katani pia marehemu atakumbukwa kwa kazi kubwa aliyoifanya kwa bidii ya kutaifisha nakuua viwanda na makampunibinafsi,kuua vyama vya wakulima,kuua na kuuzamakampuni na viwanda...