Barua Kwa Rais Kikwete Kuhusu Mtwara

Barua Kwa Rais Kikwete Kuhusu Mtwara

Wote wenye shauku na jibu
la barua hiyo subirini tarehe 31/januari au tarehe 5/februari barua
itajibiwa na mlengwa.manta hofu.
 
Ni ushauri mzuri sana lakini unatolewa kwa mtu ambaye ni kiziwi, kipofu, dhaifu na mshirikina!!! Hautafanyiwa kazi kwa namna yoyote ile!!!!!!! Tusubiri tu umwagaji damu!!!

Kwa upeo wa rais wetu, huu ni upepo wa kisiasa, utapita na aonavyo yeye mambo yatakuwa salama
 
Ni kweli Lubua amechukua muda na kuwasilisha vizuri tatizo anayeandikiwa hana washauri zaidi ya kundi la marafiki .
Watu wa Mtwara wanaweza kuwa na hoja ya msingi. Ila kuzuia Bomba la gesi lisijengwe sio njia sahihi. Kwani ni kuanza hoja kwa kutumia nguvu.
Serikali inawezekana haikutoa elimu ya kutosha kuhusu kuvuna Gesi Huko Mtwara . Kinachotakiwa ni viongozi wa serikali huko Mtwara kudai kulipwa kama wanavyolipwa kwenye maeneo wanakoiba madini.

Tatizo tunavuna gesi kwa kutumia sera na sheria za Petroli. Jakaya take your time out toa ufafanuzi na kuwapa matumaini watu wa Mtwara but hawapaswi kuweka masharti. Kuzuia serikali kusafirisha gesi kwenda Dar is just another form of modern barbarism. Hawana hati miliki ya Mali asili. Kwa mujibu wa sheria zilizopo serikali ndiyo yenye miliki kwa niaba ya Watanzania na kusema Mtwara kwanza it's totally wrong.

Angekuwa kapewa mwekezaji then kungekuwepo na hoja. Wale wasiojua historia Mtwara and Lindi wamekuwa wakipatiwa umeme wa Ruzuku kwa miaka mingi so hawajawahi kuonewa. Hata Leo hii wanapata umeme wa uhakika kuliko sehemu yoyote ile ya Jamhuri ya Tanzania .

Tuwe waungwana kwani serikali inawajali sana. Sasa ukiwa na shamba la machungwa kule Muheza na soko la uhakika liko Dar ni lazima machungwa yaende Huko. Hivyo hivyo kuna soko kubwa la gesi Dar na la uhakika. Ni uendawazimu kulazimisha watumiaji wa uhakika walioko Dar wahamishiwe Mtwara.

Serikali inapaswa kuharakisha ujenzi wa mabomba ya gesi na kupelaka sokoni na kule ambako hakuna Bomba watumie LNG haraka sambamba na kuendelea na mjadala au mazungumzo na watu walioko Mtwara bila masharti yoyote.Tanzania is not yet a failed state kwa hiyo sheria zilizopo ni lazima tuziheshimu na kuendelea kutii bila kulazimishawa irrespective of who is the tenant of Magogoni period. We are polarized on a number of issues but the bottom line is to rescue the power sector from the current predicament.

Pamoja na kuwa na mengi ya kuongea kuhusu comment yako, napenda kwa sasa niseme tu kuhusu hapo kwenye red. Moja ya sababu ambazo serikali inatoa ili kuhalalisha kutoa gas Mtwara kwenda Dar ni gharama kubwa ya kujenga Mtambo wa kuzalisha umeme na kusafirisha umeme kwenda grid ya Taifa. Wananchi wa Kusini wanajiuliza kama ndivyo hivyo maana yake ni kwa kwamba Kusini haitaungwa kwenye grid ya Taifa milele kwa vile gharama ya kufanya hivyo ndio hiyo inayokwepwa leo. Je hili ni sahihi kwa vile tu Kusini haina hati miliki ya raslimali hiyo?

Hapa kuna upotoshaji mkubwa unaofanywa na wenye kunufaika na mradi huu. Kusini haizuii na wala haitazuia watanzania wengine kunufaika na gas hii. Mbona wana kusini wanakula sukari toka mashamba na viwanda vya kilombero ( mfano tu) bila kuomba au kulazimisha miwa ipelekwe Mtwara ili isindikwe huko ili kuthibitisha kuwa Tanzania tunashare tulichonacho?
 
Ni kweli Lubua amechukua muda na kuwasilisha vizuri tatizo anayeandikiwa hana washauri zaidi ya kundi la marafiki .
Watu wa Mtwara wanaweza kuwa na hoja ya msingi. Ila kuzuia Bomba la gesi lisijengwe sio njia sahihi. Kwani ni kuanza hoja kwa kutumia nguvu.
Serikali inawezekana haikutoa elimu ya kutosha kuhusu kuvuna Gesi Huko Mtwara . Kinachotakiwa ni viongozi wa serikali huko Mtwara kudai kulipwa kama wanavyolipwa kwenye maeneo wanakoiba madini.

Tatizo tunavuna gesi kwa kutumia sera na sheria za Petroli. Jakaya take your time out toa ufafanuzi na kuwapa matumaini watu wa Mtwara but hawapaswi kuweka masharti. Kuzuia serikali kusafirisha gesi kwenda Dar is just another form of modern barbarism. Hawana hati miliki ya Mali asili. Kwa mujibu wa sheria zilizopo serikali ndiyo yenye miliki kwa niaba ya Watanzania na kusema Mtwara kwanza it's totally wrong.

Angekuwa kapewa mwekezaji then kungekuwepo na hoja. Wale wasiojua historia Mtwara and Lindi wamekuwa wakipatiwa umeme wa Ruzuku kwa miaka mingi so hawajawahi kuonewa. Hata Leo hii wanapata umeme wa uhakika kuliko sehemu yoyote ile ya Jamhuri ya Tanzania .

Tuwe waungwana kwani serikali inawajali sana. Sasa ukiwa na shamba la machungwa kule Muheza na soko la uhakika liko Dar ni lazima machungwa yaende Huko. Hivyo hivyo kuna soko kubwa la gesi Dar na la uhakika. Ni uendawazimu kulazimisha watumiaji wa uhakika walioko Dar wahamishiwe Mtwara.

Serikali inapaswa kuharakisha ujenzi wa mabomba ya gesi na kupelaka sokoni na kule ambako hakuna Bomba watumie LNG haraka sambamba na kuendelea na mjadala au mazungumzo na watu walioko Mtwara bila masharti yoyote.Tanzania is not yet a failed state kwa hiyo sheria zilizopo ni lazima tuziheshimu na kuendelea kutii bila kulazimishawa irrespective of who is the tenant of Magogoni period. We are polarized on a number of issues but the bottom line is to rescue the power sector from the current predicament.

Mokerema, umetoa ufafanuzi mzuri, ila bado kuna mambo ya msingi ya kuangalia katika hiyo gesi; wala usiifikiri gesi kama gesi. Watu wa Mtwara hawajalilia umeme (japokuwa kiukweli umeme wa Mtwara hautoki kwenye gridi ya Taifa). Watu wa Mtwara wanalilia maendeleo mengine ambayo yangetokana na kujengwa kinu cha kufua umeme hapo Mtwara. Kutakuwa na maendeleo ya viwanda (watu watapata ajira), kutakuwa na mpanuko wa biashara (mji utakua kwa kasi), kutakuwa na ongezeko la thamani ya ardhi (watu wengi watahamia Mtwara).

Jambo la msingi zaidi ni kusambaza uchumi wa nchi Tanzania nzima. Dar es Salaam ni mkoa mdogo sana. Ikiwa kila kitu kitapelekwa huko, watu wote wakihamia Dar kweli patakalika? Kaeneo kadogo vile sasa kana watu zaidi ya milioni sita (hizi ni takwimu za zamani kidogo, yawezekana sasa ni zaidi ya hapo). Hii ndio maana makao makuu ya nchi yetu ni Dodoma lakini huoni viongozi wakiweka ofisi zao Dodoma. Kwa nini kila Dar?
 
ki ukweli umemkumbusha jambo la muhimu sana na endapo atashupaza shingo syria na misri sio ulaya ni nchi za africa yanayotokea huko yanafahamika na wala sio tabu kutokea pia tanzania!!!! yetu macho
 
sijui hiyo elimu yake ni ya udsm kweli au ni kaipata chuo cha jeshi?

SAFMASS

Umesema vyema kabisa, elimu yake huyu jamaa inatia shaka... Maana ni bora uweke mwanakijiji toka mandakerenge, namanyere - nkasi ambaye hajui kusoma wala kuandika angeweza ongoza nchi vyema kabisa kuliko huyu JK afanyavyo... Yeye kimya tu... Hii siyo DANCE baba!
 
Ni kweli Lubua amechukua muda na kuwasilisha vizuri tatizo anayeandikiwa hana washauri zaidi ya kundi la marafiki .
Watu wa Mtwara wanaweza kuwa na hoja ya msingi. Ila kuzuia Bomba la gesi lisijengwe sio njia sahihi. Kwani ni kuanza hoja kwa kutumia nguvu.
Serikali inawezekana haikutoa elimu ya kutosha kuhusu kuvuna Gesi Huko Mtwara . Kinachotakiwa ni viongozi wa serikali huko Mtwara kudai kulipwa kama wanavyolipwa kwenye maeneo wanakoiba madini.

Tatizo tunavuna gesi kwa kutumia sera na sheria za Petroli. Jakaya take your time out toa ufafanuzi na kuwapa matumaini watu wa Mtwara but hawapaswi kuweka masharti. Kuzuia serikali kusafirisha gesi kwenda Dar is just another form of modern barbarism. Hawana hati miliki ya Mali asili. Kwa mujibu wa sheria zilizopo serikali ndiyo yenye miliki kwa niaba ya Watanzania na kusema Mtwara kwanza it's totally wrong.

Angekuwa kapewa mwekezaji then kungekuwepo na hoja. Wale wasiojua historia Mtwara and Lindi wamekuwa wakipatiwa umeme wa Ruzuku kwa miaka mingi so hawajawahi kuonewa. Hata Leo hii wanapata umeme wa uhakika kuliko sehemu yoyote ile ya Jamhuri ya Tanzania .

Tuwe waungwana kwani serikali inawajali sana. Sasa ukiwa na shamba la machungwa kule Muheza na soko la uhakika liko Dar ni lazima machungwa yaende Huko. Hivyo hivyo kuna soko kubwa la gesi Dar na la uhakika. Ni uendawazimu kulazimisha watumiaji wa uhakika walioko Dar wahamishiwe Mtwara.

Serikali inapaswa kuharakisha ujenzi wa mabomba ya gesi na kupelaka sokoni na kule ambako hakuna Bomba watumie LNG haraka sambamba na kuendelea na mjadala au mazungumzo na watu walioko Mtwara bila masharti yoyote.Tanzania is not yet a failed state kwa hiyo sheria zilizopo ni lazima tuziheshimu na kuendelea kutii bila kulazimishawa irrespective of who is the tenant of Magogoni period. We are polarized on a number of issues but the bottom line is to rescue the power sector from the current predicament.

Yote umenena lakini ukaharibu hapa "..............Tuwe waungwana kwani serikali inawajali sana. Sasa ukiwa na shamba la machungwa kule Muheza na soko la uhakika liko Dar ni lazima machungwa yaende Huko. Hivyo hivyo kuna soko kubwa la gesi Dar na la uhakika. Ni uendawazimu kulazimisha watumiaji wa uhakika walioko Dar wahamishiwe Mtwara.....". Utata kinachopelekwa Dar kutoka Muheza ni machungwa (mazao ya michungwa) na wala si michungwa na watu wa Mtwara wanachotaka ni serikali kusafrisha mazao ya gesi na si gesi ghafi hapo wanakosea wapi? Kiwanda cha kusafisha gesi ghafi kijengwe Mtwara na si Kinyerezi wewe unapinga nini na inatoa mifano ipi?
 
wasidizi waka wakisoma wakimwambia basi watasema ni chadema wamendaika vinginevyo hawamwambii kabisa
 
Nilitaka nisikujibu ila haya, nakujibu:-
1. Bomba hallina faida kwa kuwa Pwani yote hadi Tanga Kuna Gas ya kutosha hata Dar yenyewe ina Gas, je ikigunduliwa ni ninimustakabali wa hilo Bomba? Kama sio White Elephant?

Ikigundulika gesi Dar es Salaama na pwani, unaweza ukasikia tunajenga bomba lingine kupeleka gesi Mtwara. Ya Mtwara iende Dar na ya Dar iende Mtwara 🙂
 
Viongozi waache longolongo ges ni mtwara umeme dar kama kuna viwanda vitokanavyo na gesi vijengwe mtwara dar yataenda mazao yake yaleyale kiwanda cha juice dar machungwa muheza
 
Back
Top Bottom