Nimeona watu wanajaribu kutoa ufafanuzi kwenye mambo wanayosikia kwa watu, mimi nimemaliza chuo mwaka 2017 hapa jijini wakati nipo chuo nilinunua lain za uwakala kwa wakala mkuu wa mitandao yote. Nilivyomaliza nikapiga kambi rasmi na mwamvuli tu barabarani na mtaji wangu wa laki 8 mpaka sasa...
Wajane na watoto wao walilia eneo lao lenye ukubwa wa hekari 2 ambalo limeuzwa kwa Nahla Dev Ltd pamoja na manji. Wajane hao wamesema eneo lao hilo lililopo eneo la Temeke vetenary sokoni karibu na barabara ya port access limeuzwa kwa watu hao kwa gharama ya fedha za kitanzania bilioni 1.9 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.