Recent content by upcoming billionare

  1. upcoming billionare

    Kwani namba za Harmonize zimekaaje kwa upande huu?

    Baba levo anasema harmonize lazima amlipe Billion sita Kwa kumchafua
  2. upcoming billionare

    Water quality laboratory technology

    Habarini wakuu....hvi hii course ya water quality and laboratory technology kutoka chuo cha maji ubungo ina uwanja mkubwa wa ajira kweli? Naomba mwenye uelewa anijuze nsije zama nkajikuta nasugua gaga kitaa...mana nimeenda pale chuoni wakanielekeza kwa matokeo yangu naweza soma hyo...
  3. upcoming billionare

    Je nitapata diploma ya pharmacy?

    Mimi nilipata Bios C, Chemistry C, Maths C, English C, kuna vyuo kama viwili wamesema pharmacy naweza kusoma ispokuwa clinica medicine/officer, Medical kab, physiotherapyy na zingine za afya.....cha kushangaza humu watu wanadai huwezi soma pharmacy bika phys
  4. upcoming billionare

    Mwanza City: The Photo Gallery

    Kama upo vizuri wekeza kwenye nguo za kike hasa suruali za kike za kulalia na kitaa...mwanza bado sana japo sa hv mwamko umeanza so ukiwah unadaka soko fresh kabla halijakaba....mgahawa wa fresh juice pia unamake money....!! Appartment zinahtajika sana kama mkwanja unao jitupie... Fursa zipo...
  5. upcoming billionare

    Naombeni mnijuze hili kuhusu pharmaceutical science

    Bios C, Geog C, Chemis C, Maths C, Englsh C, Kisw C, Hist C, civcs D
  6. upcoming billionare

    Naombeni mnijuze hili kuhusu pharmaceutical science

    Sifa zinapungua...ya miaka miwili lazima iwepo physcs na physics skusoma....ila level 4 wanaruhusu without phys..sa nlikuwa nauliza kama nkianzia level 4 wataruhusu level 5 na kuendelea isje tena wakaxingua mbele
  7. upcoming billionare

    Naombeni mnijuze hili kuhusu pharmaceutical science

    Naomba kuuliza kwa anayejua hvi ukisoma basic technician certifucate in pharmaceutical science NTA 4 ukifaulu vizur unaruhusiwa kusoma, level 5, 6 then degree for the same course? Naombeni kwa anayeelewa anijuze
  8. upcoming billionare

    Msaada: Mbegu bora za maharage ya njano

    Wadau naulizia wapi wanauza mbegu bora za maharage ya njano kwa Mwanza na Dar es salaam, ahsanteni
  9. upcoming billionare

    Kijana Mwanza mbaroni kwa kumtukana Rais Magufuli ndani ya gari

    Watanzania wengi tupo kama kondoo hatuangalii nyakati na mazingira..sasa hvi maghu yupo hot sana na wananchi wanamkubali, ukimtukana lazima unyee ndoo,
  10. upcoming billionare

    Serikali itamudu gharama za kuhamisha Wizara zote ndani ya miaka 5 kweli?

    mkuu hii nchi watu wapo conservative sana...yaani wapo kama kondoo wanapowaza ni hapo hapo....wenyewe ni kuleta vikwazo tuuu..shiiti
Back
Top Bottom