Recent content by Upanga

  1. U

    Hii ni teknolojia inayozuia Vumbi, Tope (utelezi), Mmomonyoko na Nyasi zisizohitajika kwenye eneo la Nyumba/Ofisi yako

    Wakuu nami pia nahitaji hizo contact za watalaam wa kinyerezi tujuzane!!!!!!
  2. U

    Biashara ya fedha mipakani

    Mzee huwa ni kawaida kuhakiki taarifa za kuambiwa ndiyo kilichonifanya kuandika just in case kama kuna mtu anaufahamu zaidi, wao hiyo ilikuwa ni sehemu ya story za kwenye gari,
  3. U

    Biashara ya fedha mipakani

    Sawa ni vizuri akapata hints au maelezo ya kutosha kabla ya kwenda huko, ukiwa na taarifa za mapema ni vizuri zaidi
  4. U

    Biashara ya fedha mipakani

    Ndugu wapendwa napenda kujuwa kuhusu biashara ya fedha za kigeni (usd/ tshs) zinazofanywa kwenye mipaka yetu hususa Tunduma, nilipanda gari za IT zinazoenda mpakani, ndani ya ile gari kulikuwa na vijana watatu ambao ni watanzania katika kupiga nao story walinieleza wao huja dar toka tunduma mara...
  5. U

    Nani amewahi kuuza mitiki? Mwenye ufahamu wa hii biashara naomba kujuzwa

    Habari wana jamii, nimekuwa nasikia kupitia watu mabalimbali kuhusu biashara ya miti ya mitiki, binafsi nimepanda hii miti kwa ajili ya kulinda shamba huko Msata miti imefika miche 2400 na nipo mbioni kupanda hadi kufikia miche elfu sita, ila kila nikikutana na watu wananiambia hiii ni...
  6. U

    Wapi nitaweza kubadilisha dola za mwaka 2003?

    Nimefanikiwa kubadilisha pale Bureau iliyopo Congo na Masimbazi jamaa wamechukua bila shida aksante sana wadau.
  7. U

    Wapi naweza kubadili dolla za kimarekani za mwaka 2003?

    Thanks kwa msaada wakuuu nitaenda hapo Kariakoo Bazaar nitawapa mrejesho aksanteni sana
  8. U

    Wapi naweza kubadili dolla za kimarekani za mwaka 2003?

    niko usd 100 ndo yenye kuwa na shida ya kubadilisha ni ya 2003
  9. U

    Wapi nitaweza kubadilisha dola za mwaka 2003?

    Mzee kwa dolla mia mbili niende Marekani?
  10. U

    Wapi naweza kubadili dolla za kimarekani za mwaka 2003?

    Habari za leo wakuu, napenda kuuliza wapi naweza kubadili dolla 100 ya kimarekani ya mwaka 2003? nimepita kwenye bureau nyingi hawachukui mpaka iwe ya 2006 na kuendelea, hata Barclays Bank wamekataa, kama kuna mtu anafahamu wapi nitabadili natanguliza shukrani zangu
  11. U

    Wapi nitaweza kubadilisha dola za mwaka 2003?

    Habari za leo wakuu, napenda kuuliza wapi naweza kubadili dolla 100 ya kimarekani ya mwaka 2003? nimepita kwenye bureau nyingi hawachukui mpaka iwe ya 2006 na kuendelea, hata Barclays Bank wamekataa, kama kuna mtu anafahamu wapi nitabadili natanguliza shukrani zangu
  12. U

    Mkuu wa Majeshi na Ulinzi (JWTZ) kwenda Wilaya ya Kibiti Leo

    Serikali kama inataka kuvunja huo mtandao inabidi waahamishe wakazi wote wa hapo kuanzia mkuranga mpka kibiti eneo hilo litengwe kwa ajili ya viwanda na kisha wao watawanywe sehemu mbalimbali kama turiani,ludewa, tandahimba na kwingineko ambako hawatakuwa na muda wa kushirikiana karibu!!!!
  13. U

    Waliosoma Tosamaganga High School

    Kuna Mwalimu alikuwa anaitwa Mwakabanja alikuwa balaaaaa
  14. U

    Ulifanyaje kukabiliana na maumivu ya mapenzi?

    Mnajuwa Nature is the RIGHT answear! siku zote ukiona sehemu kuna milima basi ujuwe kuna sehemu nyingine kuna mabonde, ukiona mtu ana faraja basi elewa kuna mwingine anayo huzuni, ukiona leo umepata wa kukupoza moyo fahamu kuna mtu ameumizwa kwa raha kama hiyo unayoipata kwa wakati huo upande...
Back
Top Bottom