Recent content by Unsub

  1. Unsub

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anapokujibu hivi anakuwa anamaanisha nini ?

    Hapo maana yake hajaconfirm huko kunakompa jeuri. Sasa we ukiona hivyo mwaga kabla hujamwagwa.
  2. Unsub

    JamiiForums Tanzania Nimefika salama Johannesburg

    Aache utani. Hii chai au hawezi kuweka kumbukumbu ya maeneo? Passport kugonga ni ama "nakonde border" akitoka tunduma au "chirundu border" akiwa anaingia Zim. Sasa Lusaka alikua kwenye "foreni" ya kugonga passport mpaka ikatokea ugomvi kulikua na kugonga nini?
  3. Unsub

    JamiiForums Tanzania BUKOBA: Mke aua mume wake kwa wivu wa mapenzi

    Trend
  4. Unsub

    JamiiForums Tanzania Vitabu vizuri vya fasihi nipendavyo kusoma. Je, wewe wapenda kusoma vitabu gani?

    Tuangushieni hizo soft copies wakuu.
  5. Unsub

    JamiiForums Tanzania Umeenda kusalimia ndugu mtoto wake anadeka, utafanyaje?

    Oya niko siti ya nyuma yako acha kucheka kwa nguvu [emoji1] [emoji2] [emoji3]
  6. Unsub

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata Visa - Dubai

    Why Dubai? Usinijibu mimi nakupa formula ambayo mie hutumia. Jiulize hilo swali over and over ukiona huna hata chembe ya doubts. Proceed. All the best bro.
  7. Unsub

    JamiiForums Tanzania Umeenda kusalimia ndugu mtoto wake anadeka, utafanyaje?

    Una aga unasepa. Malezi siku hizi hamna.
  8. Unsub

    JamiiForums Tanzania Beliefs and Technology

    Utakua umewahi seat tu. Soma, tafakari kisha rudi unaweza kua na mchango mkubwa.
  9. Unsub

    JamiiForums Tanzania Beliefs and Technology

    Salaam Jamii Forumians. Naamini kila binadamu hufikiri kwa wakati wake na kwa namna yake. Lakini wengi tufikiria tunapokua wenyewe (alone). Wengine wanaenda mbali zaidi kiasi cha kukosa usingizi wakianza kufikiri. Mimi ni mmoja wapo. Na ndio maana when i go to bed its either nitumie simu...
  10. Unsub

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya UDART kupiga marufuku watu kupiga picha vituo nini lengo?

    Ukistaajab ya Musa...... Hivi na kwenye vivuko vya pale kigamboni nako picha zinakatazwa sababu ni nini? Mbona mambo mengi sasa hivi nyumbani yako tofauti sana na ilivyokua pia tofauti na nchi nyingi. Mbele picha unapiga hata ukiwa kwenye uzio wa jumba jeupe na sehemu nyingi za vivutio. Huku...
  11. Unsub

    JamiiForums Tanzania Mtungie shairi lenye ubeti mmoja au zaidi mwanadada umpendaye hapa JF

    We jidanganye.
Back
Top Bottom