Recent content by Unstoppable 23

  1. U

    Bei ya sukari yashuka kwa kasi Moshi, yaleta hofu kwa kiwanda cha TPC

    Mbona sijakuelewa? Imeshuka kutoka wapi hadi wapi? Rudia kusoma post yako Sent using Jamii Forums mobile app
  2. U

    Hivi kwanini wanajeshi wa Tanzania wanapenda kujichukulia hatua za kisheria mikononi?

    Sasa ww kwa nini upite karibu na kambi muda ambao umeambiwa usipite, kwa nini uvae nguo ya kijeshi wakati umezuiwa, kwa nini ukapaki gari karibu na kambi wakati unajua hiyo si sehemu yake. Tukumbuke hiki ni chombo cha ulinzi na usalama inabidi wawe makini kwa mule sio sehemu ya siasa sasa wewe...
  3. U

    Kama hujawahi kusoma Vitabu hivi Basi hujui utamu wa vitabu

    Muandishi wake ni Hussein Tuwa,, ni noma
  4. U

    Nimemfumania mume wangu live

    Hahahah, kweli
  5. U

    Ielewe nchi yako usiwe mtu wa kuburuzwa

    Ielewe nchi yako wapi ilipo na wapi inapoelekea. Soma sana na fanya utafiti mwisho wa siku utakuwa sio mtu wa kuburuzwa na wala sio mtu wa kufuata mkumbo. Watanzania tumekuwa watu fulani hivii mtu akiongea hili kwa sababu ni fulani tunaamini moja kwa moja bila kufanya upembuzi...
  6. U

    Ni jambo la aibu kwa mkuu wa watunga sheria (spika) kuagiza mwanamke afungwe pingu

    Kuwa mpinzani sio kwamba upinge kila kitu na utetee kila kitu..Nashangaa nnapomuona mtu mzima na elimu pia na akili zake anajaribu kutetea ujinga alioufanya Mdee.Wote tunafahamu bunge ni chombo muhimu sana na kwa kusimamia maadili pia afu unakuta mtu anatukana hadharani matusi mbele ya...
  7. U

    Mwanzo wa mwisho wa Zitto na ACT yake

    Jamani muacheni aingie akayafanyie kazi yale aliyokuwa anapiga kelele kwamba hayafanyiki na yeye tuje tumuulize baadae.Lkn mwisho wa yote unaweza kunambia kwa mfano Tundu Lisu akapewa uwaziri atakataa?
  8. U

    Vyama vya upinzani andaeni vijana wenu kuanzia chini

    Yaani kwa style hii tunayoenda nayo kwa vyama hivi tunavyoviita vya upinzani nadiriki kusema hakitokuja kutokea chama cha upinzani kilicho imara na nguvu kama kitakuwa imara basi itakuwa ni kwa msimu then kitapotea tena.Usitegemee mtoto wa jirani yako aje akutunzie familia yako hata kama...
  9. U

    Vyama vya upinzani andaeni vijana wenu kuanzia chini

    Salamu ndo jambo la kwanza, Narudia tena kwenye siasa ili chama chochote kiweze kuwa imara sharti kiwe na vijana wazalendo na watu wenye moyo wa kufa na kupona kulinda na kukitumikia chama chao na kutekeleza ilani ya chama chao kwa moyo mmoja. Tusitegemea kuwa wapinzani wenye nguvu kwa...
  10. U

    Watumiaji wa Mitandao na Watanzania tumelishwa tango pori kuhusu mtoaji Bastola kwa Nape pale Protea

    Kwani wale Mange anaosema anawauliza na wanamuhakikishia kuwa ni kweli..je hawawezi kuwa wanampa data za uongo ili jukumu lao litimie...Kumbuka mtu yule unayemuamini anakupa data sahihi anaweza kugeuka akakupa za uongo
  11. U

    Watumiaji wa Mitandao na Watanzania tumelishwa tango pori kuhusu mtoaji Bastola kwa Nape pale Protea

    Hahahaa kazi ipo kweli kweli,,usikubali hata siku moja mtu mwingine akusaidie kufikiri
  12. U

    Wadada ni sababu zipi zinawachelewesha kuolewa pamoja na urembo wenu?

    Mabinti wengi wazuri ni watu wanaopenda kushindana na wakati,kuiga kila kitu na kupenda maisha ambayo ni ngumu kupata,kuvaa nguo ambazo zinawaacha mwili wazi wakidhani ndo watakuwa wazuri zaidi wanasahau kuwa ile itavuta wanaume wengi wa kuwatamani lkn sio wa kuwaoa.Ikumbukwe hata yule kijana...
Back
Top Bottom