Mwanzo wa mwisho wa Zitto na ACT yake

Mwanzo wa mwisho wa Zitto na ACT yake

Kwangu mimi sina pingamizi na Kitila kuchaguliwa kuwa serekalini japo ni mpinzani. Pia napenda jinsi anavyoshiriki kwenye mijadala huru kwani ni mtu mwenye mitazamo iliyo wazi na hana siasa za chuki wala visasi, huenda akamsadia rais wetu kwenye upande huo achia mbali uwezo wake kiutendaji. Sisi kama wapinzani tusio na misimamo mikali tumuunge mkono na pia tumtumie kama sehemu ya kujenga imani kwa wananchi kwamba hata wapinzani wanaweza. Hapa ni juu ya Kitila Mkumbo kutokutuangusha wapinzani na taifa kwa ujumla.
 
Povu lisilokuwa na Maji halikawii kuyeyuka hivi ni lipi la kumshutumu ZK cha msingi ni kutazama uwajibikaji wa Kitila je itakuwa ni wakupelekwa km bendera km wenzake au la! Na hata ikitokea ataenda wrong haimaanishi ndo anawawakirisha wanachama wote wa chama chao ila kwa ushasema ni mawazo yako ngoja tuyaache hata km c sahihi.
Hakuna lolote a partner is a partner tu huwezi kulala naye kitanda kimoja ukatuambia siku zote huwa mnalala mzungu wa nne.
 
K
Mpangilio wa maoni yako yamethibitisha kweli wewe ni mchoma mahindi usie na elimu ! Bora ungekaa kimya tu !
Lazima utakua wa Kigoma wewe ... nawajua nyie ... watu wa Mobimba hamna maaana hata kidogo mmenitonesha kidonda cha Dr. Kabour
 
Mkuu mimi nilikuwa mwanachama hai wa CCM lakini tangia upendeleo wa vyeti ujitokeze wazi wazi wakati kuna ndugu zangu ilibidi waache kazi kwa kukosa vyeti, wengine wamebakiza miaka mine tu wasaafu. Nimemfuata Wema Sepetu CHADEMA.
Na mimi nakuja Kaka ...
 
Jamani muacheni aingie akayafanyie kazi yale aliyokuwa anapiga kelele kwamba hayafanyiki na yeye tuje tumuulize baadae.Lkn mwisho wa yote unaweza kunambia kwa mfano Tundu Lisu akapewa uwaziri atakataa?
 
Mtoa mada kaona Kama magufuli anaua gunguvu ya upinzani bila upinzani kujua wao wanaona fursa ila hii fursa kwao itawaghalimu baade hasa ACT
 
MM1 na MM2 wapo pamoja tuna safari ndefu Sana kujua wapinzani na wapenda mabadiliko Matamko mengine makali ni Kwa njaa tu Na kuwayumbisha watz
 
Binafsi kama mchoma mahindi ambae sina elimu tena mnyonge, nisie kua na sauti wala athari juu ya kitu chochote, mpaka kufikia jana nilikua sio mwanachama wa chama chochote.

Lakini kulingana na hali ya kisiasa nchini hasa ubabe wa serikali ya awamu ya tano pamoja na adhalimu wa wazi wa kukumbatia uovu uliochupa mipaka wa mkuu wa mkoa wa DSM

Nilijikuta napinga utawala wa CCM pamoja na CCM yenyewe, kiasi cha kuamua kutafuta chama ili niweze kuonyesha upinzani wangu dhidi ya chama tawala.

Nia pamoja na azma yangu mpaka kufikia juzi ilikua ni kujiunga na ACT-Wazalendo, ili niwe mwanachama hai hii ni kutokana na mambo yafuatayo

1. Nilikua namkubali sana Zitto Kabwe
2. Nilikua naukubali sana upambanaji wa Kitila
3. Sera za ACT zilikua zinakaribiana kidogo na mafundisho ya imani yangu

Lakini kuanzia sasa sina tena imani na Zitto kabwe wala Kitila, licha ya kuwa wameonyesha kua wao ni wanafiki kiasi gani bali pia hawafai hata kwa urafiki wa kawaida kwa maana hiyo chama cha ACT ni chama cha kinafiki

Kwa muono wangu kwa sasa Zitto hana tofauti na Lipumba, na endepo lingetokea hili kabla ya mkutano wao wa azimio la arusha basi angejikuta anahutubia CCM wenzie tu.

Hakika zito kwa sasa watanzania wa mlengo wa upinzani tumeshakustukia, na hiyo inaonyesha ni jinsi gani nyinyi watu wa kigoma mlivyo, tulili liona hilo kwa Dr. Aman Kaburu, na sasa wewe umetudihirishia kua wapinzani hasa wa Kigoma mkoje.

Kuanzia leo sintokua na imani tena na wapinzani hasa wa kutoka Kigoma, pia kaka Zitto tegemea watu wengi wata ku-unfollow kwenye page zako zote kwa sababu umetuangusha wengi tulio kua tunalukubali kwa mlengo wa upinzani.

Amini ukipenda hili ndio anguko lako kisiasa kama alivyoanguka Mrema, na huu ndio mwanzo wa mwisho wako, hakuna atakae kuelewa tena. Asante kwa machache ya kinafiki uliyoyasimamia nakutakia utimishi mwema kwa CCM chini ya kimvuli cha ACT

Mnyanyembe wa Mboka

Kwani yule aliyeitwa Fisadi Mkuu yuko wapi siku hizi.
 
Baregu alipolazimishwa na akina Lissu kuwa ajitoe kwenye tume ya katiba ya Warioba kwa madai eti ni tume ya CCM, aliwajibu kuwa akipewa achague kati ya Chadema na Taifa lake,anachagua kwanza Taifa lake!!

Obama mdemocrat alimchagua Robert Gates kuwa Waziri wa Ulinzi, Gates alikuwa ni Mrepublican!, iweje kwetu iwe nongwa?

Hivi ni lini tutatofautisha kazi za kisiasa na kazi za kitaalam?
wale wanajenga nchi nyie sisiemu mnaimarisha chuki na si kujenga nchi pia mnalipa fadhila kwa kazi ya uchonganishi
 
Binafsi kama mchoma mahindi ambae sina elimu tena mnyonge, nisie kua na sauti wala athari juu ya kitu chochote, mpaka kufikia jana nilikua sio mwanachama wa chama chochote.

Lakini kulingana na hali ya kisiasa nchini hasa ubabe wa serikali ya awamu ya tano pamoja na adhalimu wa wazi wa kukumbatia uovu uliochupa mipaka wa mkuu wa mkoa wa DSM

Nilijikuta napinga utawala wa CCM pamoja na CCM yenyewe, kiasi cha kuamua kutafuta chama ili niweze kuonyesha upinzani wangu dhidi ya chama tawala.

Nia pamoja na azma yangu mpaka kufikia juzi ilikua ni kujiunga na ACT-Wazalendo, ili niwe mwanachama hai hii ni kutokana na mambo yafuatayo

1. Nilikua namkubali sana Zitto Kabwe
2. Nilikua naukubali sana upambanaji wa Kitila
3. Sera za ACT zilikua zinakaribiana kidogo na mafundisho ya imani yangu

Lakini kuanzia sasa sina tena imani na Zitto kabwe wala Kitila, licha ya kuwa wameonyesha kua wao ni wanafiki kiasi gani bali pia hawafai hata kwa urafiki wa kawaida kwa maana hiyo chama cha ACT ni chama cha kinafiki

Kwa muono wangu kwa sasa Zitto hana tofauti na Lipumba, na endepo lingetokea hili kabla ya mkutano wao wa azimio la arusha basi angejikuta anahutubia CCM wenzie tu.

Hakika zito kwa sasa watanzania wa mlengo wa upinzani tumeshakustukia, na hiyo inaonyesha ni jinsi gani nyinyi watu wa kigoma mlivyo, tulili liona hilo kwa Dr. Aman Kaburu, na sasa wewe umetudihirishia kua wapinzani hasa wa Kigoma mkoje.

Kuanzia leo sintokua na imani tena na wapinzani hasa wa kutoka Kigoma, pia kaka Zitto tegemea watu wengi wata ku-unfollow kwenye page zako zote kwa sababu umetuangusha wengi tulio kua tunalukubali kwa mlengo wa upinzani.

Amini ukipenda hili ndio anguko lako kisiasa kama alivyoanguka Mrema, na huu ndio mwanzo wa mwisho wako, hakuna atakae kuelewa tena. Asante kwa machache ya kinafiki uliyoyasimamia nakutakia utimishi mwema kwa CCM chini ya kimvuli cha ACT

Mnyanyembe wa Mboka
Hiv mpinzan tanzania n nan...? Hiv ukiwa mpinzan hupasw kufanya kaz serikalin.....? Je hata cc wafuas hatuna ajira serikalin...? Hiv ww mleta Mada unafanya kaz wap...? Hebu some tym mtumie hakir

Zzto ndie atabak kuwa mtu bright pekee kwenye upinzan.. Before writing any thing try to be reasonable bro...ucku mwema
 
Asante kwa kunisaidia kuongea ukwel kwan Kila siku na sema Zitto na kitila sio wapizani wakweli ni wapinzan maslah..mosi jinsi wakat yupo chdm hakupenda new generation wamfunike like nnyika,lemma asari..alipenda atujuzweyeye na tena mbinafsi..kaul zake mimi nili...mm nita..badala ya sisi tuli..sisi tuta..
Kwenye kampen alikua anajitenga wakat wenzao walikua tem work nchi nzima .jeuri na zarau kwaviongoz akiwemo slaa..japo iringa alijitetea kua hana ugonvi na slaa
Walipo kua wanatebgeneza chama ndan ya chama..duuu
I wil never ever trust zito kabwe
 
Binafsi kama mchoma mahindi ambae sina elimu tena mnyonge, nisie kua na sauti wala athari juu ya kitu chochote, mpaka kufikia jana nilikua sio mwanachama wa chama chochote.

Lakini kulingana na hali ya kisiasa nchini hasa ubabe wa serikali ya awamu ya tano pamoja na adhalimu wa wazi wa kukumbatia uovu uliochupa mipaka wa mkuu wa mkoa wa DSM

Nilijikuta napinga utawala wa CCM pamoja na CCM yenyewe, kiasi cha kuamua kutafuta chama ili niweze kuonyesha upinzani wangu dhidi ya chama tawala.

Nia pamoja na azma yangu mpaka kufikia juzi ilikua ni kujiunga na ACT-Wazalendo, ili niwe mwanachama hai hii ni kutokana na mambo yafuatayo

1. Nilikua namkubali sana Zitto Kabwe
2. Nilikua naukubali sana upambanaji wa Kitila
3. Sera za ACT zilikua zinakaribiana kidogo na mafundisho ya imani yangu

Lakini kuanzia sasa sina tena imani na Zitto kabwe wala Kitila, licha ya kuwa wameonyesha kua wao ni wanafiki kiasi gani bali pia hawafai hata kwa urafiki wa kawaida kwa maana hiyo chama cha ACT ni chama cha kinafiki

Kwa muono wangu kwa sasa Zitto hana tofauti na Lipumba, na endepo lingetokea hili kabla ya mkutano wao wa azimio la arusha basi angejikuta anahutubia CCM wenzie tu.

Hakika zito kwa sasa watanzania wa mlengo wa upinzani tumeshakustukia, na hiyo inaonyesha ni jinsi gani nyinyi watu wa kigoma mlivyo, tulili liona hilo kwa Dr. Aman Kaburu, na sasa wewe umetudihirishia kua wapinzani hasa wa Kigoma mkoje.

Kuanzia leo sintokua na imani tena na wapinzani hasa wa kutoka Kigoma, pia kaka Zitto tegemea watu wengi wata ku-unfollow kwenye page zako zote kwa sababu umetuangusha wengi tulio kua tunalukubali kwa mlengo wa upinzani.

Amini ukipenda hili ndio anguko lako kisiasa kama alivyoanguka Mrema, na huu ndio mwanzo wa mwisho wako, hakuna atakae kuelewa tena. Asante kwa machache ya kinafiki uliyoyasimamia nakutakia utimishi mwema kwa CCM chini ya kimvuli cha ACT

Mnyanyembe wa Mboka
Zitto alipofukuzwa chadema mlisema ndio mwisho wake... akaunda act akaibukia bungeni... leo Mkumbo kaingia serikalini mnasema act itakufa.... hamtaacha mazingaombwe...na act ikishinda viti vingi vya ubunge uchaguzi ujao utajiapiza lipi tena???? siasa haihitaji mihemko na kujiapiza... weka akiba ya maneno ndugu
 
Mimi nilikuwa naamini mtu akipata Elimu hasa ya kiwango cha Professor, njaa kwake inapungua!!.Kumbe njaa inaongezeka!.Hakuna kitu kibaya duniani kama njaa.Tulifundishwa kwamba Elimu ni ukombozi wa fikra kumbe siyo.MTU msomi anakuwa na Kauli mbili?.Inatisha msomi kutoishi na kuheshimu anachokisema tena dunia ikimsikia.Leo MTU aliyemshauri Mhe. Rais asiteue Wahadhiri yeye kakubali uteuzi? "Ama kweli njaa ni kitu kibaya"bora kutafuta chakula kuliko kuwa professor.
 
Luliwaambia mapema ACT-ujiji ni CCM B,wanyamwezi hamkutuelewa,mkaletewa picha ya mgombea wa CCM ,Mwakasaka mkamchagua kwa kishindo na toka achaguluwe ameshaludi kwake DSM,
Tukutane kesho mkunguni tunywe kahawa tu.
Duh Mwakasaka karudi Dar?
 
Habari Leo ni gazeti la CCM kila kukicha ni kuwahadaa Watanzania. Elimu bure ipo ICU
Si kweli na wewe unapotosha tu Kama hayo magazeti.Kilichopo ni kua elimu imefanikiwa Ila siyo kwa asilimia Mia lkn imefanikiwa,Kuna changamoto za upungufu wa fedha na walimu kutokana na kwamba kumekua na ongezeko kubwa la wanafunzi wanaohudhuria shule,hata wale waliokua wameacha Sasa wamerejea shuleni na walimu ni walewale kidadi kwahiyo kuna changamoto hiyo,lkn kusema elimu bure iko ICU humtendei yeyote haki kwakua huo ni uongo.Serikali iliyopo inafanya kitu ambacho kimeshindikana kufanyika kwa miaka 30 na zilizoitangulia.

Back
Top Bottom