Recent content by Unknown1

  1. U

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Salzburg amesepa na kodi
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Salzburg amesepa na kodi
  3. U

    JamiiForums Tanzania Show off ya magari makali: Wengi hawakumuelewa Lugumi

    Kazingua
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ninunue Router ya 270,000 ambayo kila mwezi takua nalipa 70,000 ama Router ya 110,000 ambayo takua nalipa 110,000 kila mwezi?

    Changamoto ni kua huo mkongo ..unapatikana sehem chache za Tanzania..ila ni huduma nzuri
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ninunue Router ya 270,000 ambayo kila mwezi takua nalipa 70,000 ama Router ya 110,000 ambayo takua nalipa 110,000 kila mwezi?

    Airtel nao sikuiz Wana power bank ..umeme ukikata unatumia hiyo
  6. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimpelekee zawadi gani, mzazi mwenzangu?

    Kabla hujakutana nae .. jitaid unaiga mbinu za Michael Scofield ili lolote likitokea uwe na pakuanzia mkuu
  7. U

    JamiiForums Tanzania LGE2024 TAMISEMI hii maana yake nini? Kwa nini wakala aruke nafasi hapo kwenye Daftari?

    ndiyomana mi sion umuhim wa kwenda kujiandikisha
  8. U

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe na kampuni

    Asante saana mkuu!!
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe na kampuni

    Asante kwa ushauri mkuu
  10. U

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe na kampuni

    Nahitaji fursa Au wazo kuhusu fursa itakayokua chini ya kampuni ambayo naweza kuifanyia
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe na kampuni

    Interest kubwa ni kwenye usindikaji wa nafaka au chakula
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe na kampuni

    Ndo naamka mkuu!! Kwani nani katumia account angu kuandike hiyo ndoto ?
  13. U

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe na kampuni

    Kama thread inavojionesha ! Kama tunavojua ,sisi sote ni ndugu!! Basi naomba tusaidiane kwa hili!! Ndoto yangu ni kufanya kazi chini ya kampuni langu, ndiyo furaha nayoiwazia saana saana kwani naimani ya kua ,nikifanikisha kua na kampuni ,basi nitaweza KUJINYIMA USINGIZI kwa ajili ya kampuni...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Kazi 350 zatangazwa TAKUKURU

    Nasikia watu wameomba elfu nne na akati wanahutajika watu 350 Kwa yeyote atakaeitwa kwa hatua yoyote basi,, ujipige kifua
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Wachina hebu kuweni serious

    Nahisi hawajaelwana vizuri .. kasema transport na other allowance atapewa it means basic hapo lazima itakua ni laki Tatu bila kukosea then laki2 ni take home ...mi nimefanya kazi ya namna hiyo ..unapewa 20k kila week na kila mwanzo MWa mwez unapewa 20k ya bundle ..kwahy ,unaweza kufk mwisho MWa...
Back
Top Bottom