Recent content by unique mathias

  1. unique mathias

    BBC Swahili ya enzi hizo!

    Siku hizi BBC kama TBC
  2. unique mathias

    Ushindi wa Uhuru Kenyatta watambuliwa na Mahakama. Kenyatta kuapishwa tarehe 28 Novemba

    BREAKING. Kenya Supreme court throws out petitions against President Uhuru Kenyatta's election
  3. unique mathias

    Majina ya Vituo vya Mabasi Arusha yana mvuto wa kipekee tofauti na Mikoa mingine

    Mianzini-ilboru-sanawari-ngulelo-kwa mrefu-shangarai-chama- tengeru(ukifika hapa weka simu mfukoni kwanza)-kwa Fundi(omba usipate ajali hapa mida ya usiku) sawmill(someli)- kilala-makumira- leganga- usa- momela- kambi ya kwanza- ya pili- kwa aloyce- sabato- maji ya chai- njia a ng'ombe-kikatiti-...
  4. unique mathias

    Tanzia: Mmiliki wa hoteli ya Impala, Ngurdoto na Naura Springs Arusha afariki dunia

    Hawa ni watu wawili tofauti, Felex Mrema na Mrema anaesemekana ame R.I.P wote ni mabililionea wa Arusha Sent using Jamii Forums mobile app
  5. unique mathias

    Naliamsha dudeee

    Hivi ule utaratibu wa kuamsha madude kila jumapili umeishia wapi? Au madude ndo ayalali tena? Au muamsha madude kalale yeye? #tusitajanemajina[emoji41] Sent using Jamii Forums mobile app
  6. unique mathias

    Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

    Em tuanze na ww, vyanzo vyako vingine ni nini Sent using Jamii Forums mobile app
  7. unique mathias

    Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

    Baada ya kutishia kuchukua uamuzi mgumu atimae nimewekewa kilicho changu, japo nimepigiwa simu nikaambiwa nipeleke mkojo nikapimwe ka ni mchochezi[emoji24] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. unique mathias

    Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

    Sijinyongi ila ntafanya kile alichofanya babu yangu mwaka 1952 Sent using Jamii Forums mobile app
  9. unique mathias

    Wale ambao tumeongezewa pesa kwenye salary ya mwezi huu tukutane hapa.

    Usije ukazitumia zitakutokea puani uanze kubabaika nazo Mara TRA, Mara DAWASco, Mara kwingine Sent using Jamii Forums mobile app
  10. unique mathias

    Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

    Wadeni wamekizingira kibanda ninachoishi hivyo chochote kinaeza kutokea Sent using Jamii Forums mobile app
  11. unique mathias

    Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

    [emoji115]nipo hapa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. unique mathias

    Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

    Mimi mwenyewe salio halitoshelezi. Nitachukua maamuzi magumu masaa 24 kutoka sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. unique mathias

    MAREKANI: Msanii aliyeshika kichwa cha Rais Trump Kufunguliwa mashtaka

    Mimi pia siyo muumini wa Sera za trump lakini kwa hili huyu msanii wamsaa8 tu
  14. unique mathias

    Kwanini Kundi la P Square limevunjika?

    Peter Okoye Opens Up On How His Brothers Ganged Up Against Him [FULL INTERVIEW] - INFORMATION NIGERIA
Back
Top Bottom