Recent content by ungasulwa

  1. ungasulwa

    JamiiForums Tanzania Corona: Nilichokiona jana pale FQ Hotel, tutakwisha kwa udhaifu wa kushughulikia waliowekwa Karantini

    Yes upo sahihi.....shida aliyeleta hii mada kama aliingia eneo la karantini na kutoka ......inapoteza maana ya karantini
  2. ungasulwa

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu wa vyuo vikuu wanakuwa ni watu wenye ufaulu wa juu sana tofauti na walimu wa shule za msingi na sekondari?

    Nadhani kuna tofauti kati ya mwalimu na muhadhiri......
  3. ungasulwa

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini zingatieni kujali mda katika ibada mnatukwaza waumini wenu.

    Mungu kakupa siku sita za kufanya shughulu zako lkn anataka ckumoja kwa ajili yake ....sasa hata hiyo cku moja unataka kumuibia muda wake hicho ni kiburi cha uzima, Muombe msamaha Mungu faster.....
  4. ungasulwa

    JamiiForums Tanzania Waandamanaji zaidi wameuwawa Venezuela

    Kwa Jina la Yesu hayatatokea
  5. ungasulwa

    JamiiForums Tanzania Vifungu mbalimbali vya Biblia vinavyopingana na ndoa ya Flora 'Kusekwa'

    kuimba ni jambo rahisi kidogo lakini kuweza kuyaishi yale unaimba inakuwa ngumu sana bila msaada wa Mungu.....alitakiwa kuvumilia kwa kweli.
  6. ungasulwa

    JamiiForums Tanzania Maandalizi AFCON U17 : Serengeti boys waichapa Cameroon

    upo sahihi mkuu kuwaendeleza hawa madogo ni kazi kweli....coz mchezajia analelewa kwenye timu sasa timu zetu za kuwalea hawa madogo ndo simba,ndanda,yanga.......
  7. ungasulwa

    JamiiForums Tanzania Nusrat Hanje wa CHADEMA alistahili ubunge EALA

    upo sahihi mkuu wa kiasi flan
  8. ungasulwa

    JamiiForums Tanzania Flora Mbasha kufunga ndoa wiki ijayo

    nadhani hii ni kimjini mjini
  9. ungasulwa

    JamiiForums Tanzania Inanisikitisha sana pale USA kumuogopa Kim Jong Un wa Korea Kaskazini

    Cdhani kama wamarekani wapo tayari kiuchumi kuanzisha vita nyingine ambayo haina faida kwao kiuchum katika muda ambao uchumi wa china unaendelea kukua kwa kasi na kuatarisha ushawishi wa USA dunia ...... me nadhani ilikuwa gun boot diplomacy ..... kumtikisa dogo
  10. ungasulwa

    JamiiForums Tanzania Inanisikitisha sana pale USA kumuogopa Kim Jong Un wa Korea Kaskazini

    gun boot diplomacy.........
  11. ungasulwa

    JamiiForums Tanzania Inanisikitisha sana pale USA kumuogopa Kim Jong Un wa Korea Kaskazini

    unatamani sana vita wewe?
  12. ungasulwa

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mkataba wa Mlimani City na Chuo Kikuu cha UDSM ni wizi mtupu

    kumbe tusimlaumu mangungo .....
Back
Top Bottom