Recent content by Une Joune

  1. Une Joune

    JamiiForums Tanzania Tusiokuwa na mazoea ya kuhesabu pesa benki tunapopewa na mateller wa hizi benki tuwe makini, wamenipiga leo

    Ndiyo maana nilihama kitambo, na hii ni baada ya kutoka NBC, nilikuwa nawaamini kwa kipindi kirefu. Bahati kote walikiri kunipiga na kuwahamisha mateller, babati mbaya baada ya kipindi sikuwaona tena, nadhani walifukuzwa .
  2. Une Joune

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malezi: Watoto wengi wa kike wanatamani wangekuwa wa jinsia ya kiume

    Nimewahi kuwasikia baadhi miaka ya zamani kidogo wakisema visichana vingenikoma na hakuna ambaye angenishinda, huyo ni mtoto wa kike. Mbombo ngafu.
  3. Une Joune

    JamiiForums Tanzania Askofu Emmaus Mwamakula: Ujumbe maalumu kwa Tundu Lissu

    Sauti itokayo nyikani, hakuna uhuru ndani ya moyo wa mtu bila kusamehe, ukisamehe, utakuwa umeutua mzigo mzito unaotembea nao kifuani na moyoni mwako na waliokuzunguka. Amina, TAL, samehe kila kitu na kwako hii itkuwa shule kubwa kuliko ya darasani. Tanzania ni yetu, neno AMANI, upendo na subira...
  4. Une Joune

    JamiiForums Tanzania TANZIA Ruge Mutahaba afariki Dunia! Azikwa kishujaa kwao Kabale, Bukoba

    Just leaving behind a wonderful legacy for others to emulate, otherwise haikuwepo nafsi hai kwa ulimwengu ujo kwani si wetu
  5. Une Joune

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ananisogezea nasogeza analeta tena, sitapanda tena DCM

    Mkuu Sababu?
  6. Une Joune

    JamiiForums Tanzania SEHEMU YA 2: Namna Wazungu walivyotokea duniani

    Hon Mshana Jr, can you clarify?
  7. Une Joune

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa tuliokoka ila uzinzi haujatuacha salama

    Mwisho wa utamu unaanza na uzee tu na kuishia na kifo. Sex is life and the opposite is the same. usipofanya utakuwa mbeya, mwongo , fitina na mnafiki.
  8. Une Joune

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nimehisi sababu iliyomfanya baba yangu kumuacha mama yangu..

    Forgiving is part of self enrichment or empowerment.
  9. Une Joune

    JamiiForums Tanzania Kimaadili ya Kihasibu: Je, CAG alikuwa sahihi?

    Pamoja na kutumia Kanuni za Bunge letu tukufu, kilicho juu ya vyote ni Katiba. Katiba inaoverule kila kitu, maana ndiyo msingi wa kila kitu. I beg to be corrected kutoka kwa wenzetu Wasomi waliobobea, kwa maana ya Wanasheria.
  10. Une Joune

    JamiiForums Tanzania Kwa jicho la tatu la utosini, ishu ya CAG Ina mshindo nyumayake!

    Maneno yako hayaendani na Avatar yako, jaribu kuipa heshima na subira
  11. Une Joune

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu SSRA: Kiuhalisia michango yote ya mstaafu ni 20% ya mshahara wake so 25% inampa ziada ya 5%

    Mwanangu Isaka kama ameishiwa hoja za kuchangia katika kuhalalisha kikokotoo chake ni bora angenyamaza kuliko kutoa kauli ya matusi kama hii. Anazidi kuudhi na kuudhi. Kabla ya kuhamia Dom, PSPF walishatupatia stahili zetu wala hii 25% haikuwepo. She better remain silence instead of uttering...
  12. Une Joune

    JamiiForums Tanzania Alfayo Kidata kupelekwa Mahakamani, ni balozi aliyerejeshwa kutoka Canada

    null and void
Back
Top Bottom