Hii inasikitisha, mamlaka liliangalie upya suala hili, wasione aibu kushindwa ikiwa ni kwa manufaa ya wengi.
Kila mtu ataguswa kwa wakati wake,Naona mambo yamekuwa kinyume
Tulisema tukasemwa, sasa ni zamu ya waliokuwa wakitusema kusema wao.
Huu wimbo hauhitaji hasira!
Baada ya hawa waliokuwa wakisifu kuanza kuguswa na hali mbaya ya kiuchumi, serikali ndio itaanza kulalamika kwamba nchi haina fedha.
Tukishanywea wote serikali itaanza kuhaha maana watu wanafunga mabiashara, wawekezaji wanatoroka na wengine kuondoka waziwazi, watu wanapunguzwa kazini na wahisani wanakata mirija
Huu wimbo tulianza kuimba wakatukebehi na vitisho juu.
Zamu ya vibendera na vichumia tumbo ndio imefika ya wao kuimba,,,,,zamu inayokuja ni ya serikali kuweka wazi kwamba mambo yameenda kombo
Ushamba ni mzigo sana hasa ushamba unapochanganyikana na jeuri na ulimbukeni
Bado kitambo kidogo kila mtu ataimba kwa ufasaha
Average ya nchi... TZ ni ya 4 kwa matumizi ya internet Africa.... Kama ni vijijini ama Dar sina uhakika..Labda wa Dar es Salaam. Tembelea mikoa mingine ya Tanzania uone kama uchumi wao unawaruhusu kushinda online na hayo ma bundle unayosema.
Wanapata takwimu hizo kwa TCRAwanatambuaje idadi ya viewers kwenye television? sina utalaam wowote kwa haya mambo, nielimishwe.
Kuondolewa tu kwenye mfumo wa chanel zinazorushwa bure kwa mtu ambaye huna utaalamu wa mitambo inakujulisha kuwa watazamaji wanapungua, na ukitazama tabia na hali ya watanzania unagundua kuwa zaidi ya asilimia 50 watazamaji wamepungua.wanatambuaje idadi ya viewers kwenye television? sina utalaam wowote kwa haya mambo, nielimishwe.
Na uwezo wako Wa kujiunga jf hujui kwanini zilikatwa .HEBU FIKIRI NA ULIZA SABABU UTAPEWA NA WENYE KUFIKIRIIIITCRA sijui walikuwa wanawashwa na nini, sisi watazamaji hatujawahi kulalamika
Tulipe wenyewe waumie TCRA smart tv yangu kwa sasa naitumia kama monitor kuangalia moviesTCRA sijui walikuwa wanawashwa na nini, sisi watazamaji hatujawahi kulalamika
Jiwe na Tanzania yake ya kusadikika, ya njozi.Bosi wa Clouds Media amesema tangu kutokea changamoto ya local channels kuondolewa kwenye ving'amuzi vyombo vya habari hivo vimeathirika kwa kiwango kikubwa na hapo wanapenda kutoa ajira kwa vijana lakini wanakoelekea watakwama na kupunguza wafanyakazi.
Kusaga" wakati kupo kwenye ving'amuzi vyote zuku, startimes, Azam na DStv mfano makampuni Kama Vodacom, Tigo na Airtel walikuwa wanaona views milioni 1 wanakulipa fungu zuri kutokana na idadi kubwa ya watazamaji, lakini kwa sasa views wameshuka Hadi laki moja kwaiyo makampuni hayo yamekata bajeti zao na kukulipa kuligana na idadi ya watazamaji na huwezi kuwalaumu hata Kama wanakupenda lakini wanakulipa unachostahili Sasa kwa Hali hii wafanyakazi Hawa vijana wanafamilia tutawalipa vipi?
Maana yake hatuwezi kufika inabidi tuwapunguze japo tunawapenda". Kuna haha la kuniangalia upya suala hili.
Kusaga ameongeza hata wasanii wameathirika hawapati tena show nje kwakuwa hawaonekani Tena Kama zamani
View attachment 957913