Recent content by unclebk

  1. unclebk

    Thinking far: Kutangaza uwepo wa COVID-19 ni mkakati wa kutengeneza matukio?

    Ni kwel usemacho, na umewaza kama mm, Haipingiki kuwa saiv kuna kaupepo ka magonjwa magonjwa sana, lkn kitendo cha wizara kutoa tamko ki-rahis namna hii, sidhan kama kuna usalama. Anyway, kuna watu wako mbele ya Muda, lets watch it.
  2. unclebk

    MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    Nilichukua kwa 2.85M japo kwenye card imeandikwa 2.0M 🤣
  3. unclebk

    Ulishawahi kuwekewa pesa kwenye akaunti yako ya Benki bila kujua zimetoka wapi? Ulifanyaje?

    Iliwahi nitokea bhana, nikakaa nayo kama 3 weeks si nikajichanganya kuitumia 😂😂😂,, Baada ya kuitumia tyuu nkapigiwa sim na mhasib akanipigia cm akidai alikosea kuiweka ilikua ya wajina wangu 😥😥😥 Niliilipa kwa machungu 😥😥
  4. unclebk

    Mwaka huu kuna ajira za afya na elimu kweli?

    Sidhan kama nimechanganya coz me ni Mtaalam wa Afya
  5. unclebk

    Mwaka huu kuna ajira za afya na elimu kweli?

    Daaah, nimekaa nikawaza sana, Kuna mipango mingi nashindwa kuifulfill kwa sababu ya hiz Ajila
  6. unclebk

    Mwaka huu kuna ajira za afya na elimu kweli?

    Ni matumaini yangu wana JF mko salama salmin. Mwaka jana Mwezi wa Nne mwanzoni ajira za Afya na Ualimu zilitangazwa, na watu tulianza pilikapilika (Japo baadhi yetu tulikosa). Nilitegemea mwaka huu pia majira na nyakati kama hizi tuwe kwenye harakati kama mwaka jana. ==> Je, Mwaka huu ajara...
  7. unclebk

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Wizara ya Afya, Toeni bhas Ajira, Maana tumejitolea sana kwenye Hospital za Rufaa na still hamjatuona, tukaamua turud tyuu kupiga madili vijiwen.
  8. unclebk

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Actually me ni Muoga kwenye mishe za Wadada, especially mke wa mtu. I don't know what Happened, Bt i think shetan wa Humu Jf anataka kuniharibia maisha [emoji1787][emoji1787]. Iko hv, Hv karibun kuna mpangaji flan amekuja na mke wake, kimwonekano jamaa yuko Age haf mke mdogo, Hasa since day one...
  9. unclebk

    Anahitajika mtu wa kuuza duka la dawa

    Kama uko tayar nichek, na mm natafuta
  10. unclebk

    Mwenye cheti cha addo tuwasiliane

    Na mm natafuta kwa Alie tayari, Duka liko Singida
  11. unclebk

    Scholarship hii hapa ya bure kabisa

    Me naomba connection ya scholarship ya Bachelor of medical laboratory science [emoji120][emoji120]
Back
Top Bottom