Ni kweli smartphone za vodafone zina punguzo la 55% toka tsh 220,000 hadi 100,000... Ila sio simu zote zina punguzo la 55% nyingine ni punguzo la 5% na kuendelea hadi 50%
Nimemchukulia wife Samsung gallaxy star plus kwa tsh 175,000 na iko poa kabisa, sema ndio simu ya kijinga ambayo imewahi...