da irritant boy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 407
- 455
Habari wanajamvi nimeona matangazo ya vodacom katika page yao ya facebook na wameeleza kuwa kuna punguzo kubwa la bidhaa zao ikiwemo smartphone za vodafone maeneo ya leaders club,sasa kwa mdau yoyote ambae ametembelea maeneo hayo atujuze zaidi kuhusu bei ya simu hizo na bidhaa zingine,