Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Habari zenu wakuu?
Mimi natumia king'amuzi cha Easytv
Leo asubuhi nilikuwa najiandaa kuangalia bunge la katiba, ghafla tu na shangaa signal imepotea hadi mda huu ijarudi, channel nazopata ni za startimes tu ambazo ni za kuchakachua.
Je ilitatizo ni kwangu tu au ni kwa watumiaji wote wa Easytv? Naona huyu babu wakichina kazi imemshinda sasa
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums