Recent content by uncle..m

  1. uncle..m

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Agh it sucks wakuu

    Inaelekea mna mapepo wachafu[emoji23][emoji23]
  2. uncle..m

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta mume mwenye sifa hizo

    Kila posti sijafikia vigezo duuuh
  3. uncle..m

    JamiiForums Tanzania Ngorongoro crater.... (domestic tourism)

    vizuri umetalii umejifunza vitu vingine pia umepunguza stress
  4. uncle..m

    JamiiForums Tanzania Tupia picha za Mademu wakali wa vyuo vikuu

    Nimepakumbuka sana Unit 1
  5. uncle..m

    JamiiForums Tanzania Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

    asante sana kwa ushauri
  6. uncle..m

    JamiiForums Tanzania Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

    hahahhaah hiyo lugha ya malkia haijanipita sana, ila nikinywa naweza poteana kabisa.
  7. uncle..m

    JamiiForums Tanzania Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

    Huo ni mtazamo wako, kunywa au kutokunywa pombe hakuleti taswira halisi ya mtu akiwa mzee.
  8. uncle..m

    JamiiForums Tanzania Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

    Kila kitu kwa kiasi [emoji23] [emoji23]
  9. uncle..m

    JamiiForums Tanzania Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

    Wanywa pombe nawaheshimu, maana kila mtu na starehe yake.
  10. uncle..m

    JamiiForums Tanzania Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

    Watu kama wewe wameshanipa ushauri sana wa kupiga vyombo ila msimamo ni hapana vinywaji laini vinatosha
  11. uncle..m

    JamiiForums Tanzania Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6..

    Sijawahi kunywa bia hivyo sijui lolote kwenye hili, nimesoma nabaki nacheka tu
  12. uncle..m

    JamiiForums Tanzania Tibaijuka: Ukiona watu wanahangaika na mavazi ya mwanamke ujue wana matatizo yao

    Tena mzigo ukiwa kwenye dera yaan unanipa hamasa kweli ya kujua kilichomo ndani[emoji23][emoji23][emoji23]
  13. uncle..m

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa viwanja vya ndege sasa kusimamiwa na TANROADS

    barabara zenyewe wiki moja tu zina madimbwi hivyo viwanja si vitakuwa na mabwawa
  14. uncle..m

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa shemeji yangu Mimba

    Ndio maana mvua hazinyeshi
Back
Top Bottom