Recent content by Unbelievable

  1. Unbelievable

    JamiiForums Tanzania Toyota Rav 4 inauzwa.

    Toyota Rav 4 inauzwa Milioni 14 mwisho 13.
  2. Unbelievable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilichonipata leo, nimekoma!!

    Halafu na huyo wa Kateshi naw kaondoka na ujauzito sijui itakuwa. Ila ni mawazo yangu tu mkuu yasikusumbue hakuna anayefaa kuwa mkeo hapo tafuta namna ya kulea mtoto mkuu achana nao hao.
  3. Unbelievable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa uswazi wako vizuri kwenye ulinzi na wakishua wako vizuri ushambuliaji

    We si ndege JOHN?
  4. Unbelievable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Demu wangu katoa namba yangu ya simu kwa bwanake ili anifuatilie

    Mkuu kumbe wewe ni KE?afadhali umejitambulisha.
  5. Unbelievable

    JamiiForums Tanzania Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

    Huwaga sisomagi uzi mrefu namna hii nikaumaliza ila leo nimesoma mwanzo mpaka mwisho
  6. Unbelievable

    JamiiForums Tanzania INAUZWA POWER BANK 20000mAh ipo sokoni

    Niko Mwanza mkuu inaweza kufika huku?
  7. Unbelievable

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Anthony Lusokelo apinga ndoa za mke mmoja

    Kuliko kumsikiliza Gwajima au Lusekelo kama ajiitavyo mzee wa Upako ni aheri nikasikiliza miziki ya Bob na Luck dube hapo nitapata kitu cha maana kuliko mafundisho ya hao jamaa.
  8. Unbelievable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo kila mtu ataje majina ya wapenzi wake hapa

    Mkuu mpaka majina ya magari na vyakula?wee mmbaya sana.
  9. Unbelievable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Massage ni hatari kwa ndoa

    Lakina mkumbuke kuna kale kamsemo kanasema "Mwanaume bila mchepuko ni sawa na Taifa bila chama cha upinzani,na Mwanamke kuwa na mchepuko ni sawa na Taifa lenye kikundi cha uasi." Japo sijui kama ni kweli,ila wadada muwe wabunifu katika ndoa zenu.
  10. Unbelievable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo kila mtu ataje majina ya wapenzi wake hapa

    Hata huyo Irene ni mchepuko tu mkuu.
  11. Unbelievable

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi jamani!

    Karibu sanaaaaaaaaa ila kumbuka mchezo huu hauhitaji hasiraaa..
  12. Unbelievable

    JamiiForums Tanzania Wenyeji hodi hodi

    Karibu sana jisikie nyumbani.
  13. Unbelievable

    JamiiForums Tanzania Sijaona kosa la mwanafunzi hapa

    Hahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa
  14. Unbelievable

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi Muona mtu akiingia JF, JF kuna nani??

    Hahahahaaaaaaaaaaaa.
  15. Unbelievable

    JamiiForums Tanzania Sikuwahi Muona mtu akiingia JF, JF kuna nani??

    Mie ninawafahamu watu kama kumi hivi coz niliwafungulia account mimi mwenywe baada ya kuwapiga injili na kuitikia wito nikawabatiza.
Back
Top Bottom