Recent content by umutuni

  1. U

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo lindi manispaa mimi nije dar , kibaha au mkuranga
  2. U

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nami natafuta wa kubadilishana naye yeye aje Lindi manispaa, mimi nataka anaye tokea pwani au dar ingia pm kwa kuelekezana zaidi shule ni nzuri sana sema familia yangu iko dar
  3. U

    JamiiForums Tanzania Alianza kuniaga kwa vidole viwili hatimaye akanidai Kombati.

    Ndugu yangu ambaye hayajamkuta akisoma huu uzi wako anaweza kusema unatania, lakini kwa kipindi hiki ni shida ndani ya nyumba, mimi mwenyewe nina binti yangu ana miaka miwili na nusu salaam yake ya kwanza kila akiniona ni peopleees na anamalizia power cha ajabu ndani kwangu tunakaa watu watano...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Tatizo Mfumo!Mfumo!Mbowe kasema....Rushwa,Ufisadi,Demok rasia,Ukandamizaji,Ubabe si Tatizo

    Huo ndo ukweli,maana mfumo ukiwa uko sawa kila kitu kitajiendea,na mfumo mzuri huanzia kwenye KATIBA BORA
  5. U

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba arejea nchini

    Karudi kutambulishwa ACT na kuchukua fomu ya urais
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kwa hili hongereni CCM

    Kwani kwa Tanzania chama cha upinzani maana yake nini? Maana ACT huwa sielewi ni wapinzani wa nani? Mara watuseme ccm mara Ukawa amueni moja tuunge mkono tujue mko nasi au acha tujue hamko pamoja nasi!
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ni halali ndg Edward Lowassa kuitwa 'Waziri Mkuu mstaafu'?

    Swali la kujiuliza anapata stahiki za Mawaziri wakuu wastafu? Je hizo stahiki kama anapata nani anampa?kama hapewi kwanini? Je serikali inamtambuaje? Ukijibu maswali hayo kwa ufasaha utapata majibu na akili mokichwa
  8. U

    JamiiForums Tanzania DC wa Kinondoni(Makonda) yupo anamsimanga Lowassa

    Tatizo la viongozi tulionao huwa hawapatikani kwa uwezo wao bali ni kwa kuzawadiana,na ndo maana tumefika hapa tulipo! Kiongozi mwenye miiko ya uongozi hawezi kufanya au kusema kama tuonayo na kusikia
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais ACT-Wazalendo kujulikana Agosti 10

    Nasikia mgombea wa ACT ni Lipumba na Mwenza ni Dr.Slaa vp hapo wadau?
  10. U

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Lipumba ni mtiifu sana kwa Chama changu,kwani aliposema 2010 alitusaidia kushinda hamkumwelewa,subirini na bado namba mtaisoma,
  11. U

    JamiiForums Tanzania Lowassa asiposhtakiwa, anashinda Uchaguzi mkuu

    Mimi nasema Ccm,kushinda ilikuwa na nafasi bado ,sema kwa sasa viongozi tulio nao nakuwa siwaelewi,sijui hawajasoma upepo kuwa watz kwasasa hawahitaji ngonjera,Sasa kama Katibu Mkuu anaweza kusimama na kuita walioshindwa kupata nafasi kuwa ni makapi! Kwa maana kwamba...
  12. U

    JamiiForums Tanzania CCM kufanya press conference kesho

    Mimi naomba sana viongozi wangu wa Ccm msiwe na mioyo migumu,jaribuni kuona ni jinsi gani tutakabiliana na changamoto hii maana siyo ya kubeza,lolote laweza tokea maana mawazo yetu siyo mawazo yao.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Samweli John Sitta: Sioni mgombea wa urais wa kupambana na ufisadi mpaka sasa

    kimsingi kabla ya mchakato wa katiba,nilikuwa nikimpa heshima sitta kwa 45% kama mpambanaji na mzalendo,lakini baada ya kushiriki ufisadi wa kuihujumu katiba,ambayo ndo msingi mkuu wa kuegemea kupinga ufisadi,sioni wapi anaweza kusimama na kujinasibu,heli fisadi anayechukua hela kuliko fisadi...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kilimo chenye tija

    Asante mkuu wangu hapo nimepata vp msimu wake mwezi gani?
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kilimo chenye tija

    Ndugu zangu kwa kuwa sisi watanzania huwa ni watu wa kusaidiana kwa hali tofautitofauti kulingana na uhitaji wetu, nami naomba msaada wenu kwa anayejua. 1. Ni zao gani la miezi mitatu linalimwa huku uliko. 2. Linaghalimu shilingi ngapi kwa ekari moja kuanzia kulima shamba hadi kuvuna 3. Ekari...
Back
Top Bottom