Recent content by umurumaithaa

  1. umurumaithaa

    Weekend Story: YANGA! (Naipenda yanga shabiki wa damu)

    Lara nakupenda dada yangu, nikiwa na stress nikikukumbuka ww stress zote zinayayuka, you made my day
  2. umurumaithaa

    Tatizo la homoni kutokaa sawa (normal hormone inbalance)

    Amepima TMJ, Nashukuru sana kwa ushauri wenu
  3. umurumaithaa

    Tatizo la homoni kutokaa sawa (normal hormone inbalance)

    Habari wakuu nna ndugu yangu anatafta mtoto toka kuolewa ni mwaka wa 3 ila hajashika ujauzito kashapima vipimo vyote ila ikifika kwenye homoni anakutwa zinapishana, afanye nn ili kurudisha katika hali ya kawaida ili aweze kushika mimba na je, hatoweza kushika mimba tena ikiwa hazitakaa sawa ...
  4. umurumaithaa

    Sikutegemea nitakuja kuwa single mother in my life

    Mi naamin hakuna mwanaume hata mmoja anaezidi ukatili kama firauni hapa duniani (sioni sababu ya kuwachukia )jipange omba toba, amin mungu anasikia na kuona ,naamin ipo siku utampata mwenza bora katika maisha yako, all the best dada
  5. umurumaithaa

    Natafuta rafiki truefriend kubadilisha mawazo

    Ndugu wala sijakulazimisha, baki nayo tu, usije ukapata hasara
  6. umurumaithaa

    Natafuta rafiki truefriend kubadilisha mawazo

    Asante, hata ww unaweza ukaweka tangazo lako
  7. umurumaithaa

    Natafuta rafiki truefriend kubadilisha mawazo

    Kaka kama unafaham kiswahili kwa ufasaha nadhan utakua umeelewa
  8. umurumaithaa

    Natafuta rafiki truefriend kubadilisha mawazo

    Email thureyaabdallah7@gmail.com
  9. umurumaithaa

    Natafuta rafiki truefriend kubadilisha mawazo

    Muhmu awe true friend sibagui jinsia wala kabila
  10. umurumaithaa

    Natafuta rafiki truefriend kubadilisha mawazo

    Habari natumai ni wazima natafuta rafiki wakubadilishana mawazo, ningependelea kuongelea vitu vya maendeleo. Aliye tyr Ani pm,jinsia yngu ni mwanamke, kwa walioko dar itakua vzr, jion njema
  11. umurumaithaa

    Mke wangu amegundua baba yangu alimuua baba yake

    Duh pole sana, omba mungu hakuna kinachoshindikana kwake
Back
Top Bottom