muache tu Dada,hao wanajua na kusikia lugha moja tu ,pwani huku watu huwa hawaheshimiani.
Tubadilishane nawazo kwanza unaelimu gani?nijipange" Mana wengne mawazo yetu hatutoi tu hv hv tumeyagharamia sana kuyapata
Habari natumai ni wazima natafuta rafiki wakubadilishana mawazo, ningependelea kuongelea vitu vya maendeleo. Aliye tyr Ani pm,jinsia yngu ni mwanamke, kwa walioko dar itakua vzr, jion njema