Recent content by umukeke

  1. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa hizi zitatuua jamani!

    Duuu utadhani wewe ni mimi kabisa .nami ni copyright na wewe
  2. U

    JamiiForums Tanzania Demokrasia haileti maendeleo ila udikteta ndio unaleta maendeleo?

    Mlipata Uhuru gani?Kuna nchi hata moja ya Afrika ambayo iko huru? Namna nzuri ya Afrika kuendelea ni kutumia dictatorship tu siyo democracy hapana
  3. U

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tumeuzwa na Rais Samia. Mkataba wa DP WORLD na Serikali ni Mkataba wa ovyo

    Mbarawa alikuwa hata hajui anasaini sehemu gani akaanzia chini kwa katibu wa wizara
  4. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar tafuta washauri wazuri suala la ardhi ya Bagamoyo

    Atatuma kesho gani Sasa ,wale mgambo wa kuzuia magendo?
  5. U

    JamiiForums Tanzania Uamsho - Akutendae mtende, mche asiyekutenda

    My friend colonialism is still there in Africa but in more modern state,Afrika haikuwahi kupata Uhuru iwe kiuchumi,kisiasa,au kijamii.Tuko kwenye uchumi wa kikoloni ambao sifa yake kuu ni Afrika kuwa na uchumi tegemezi.Wazungu kilichopekekea kuitawala Africa ni kupata sehemu ya kukidhi mahitaji...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Anna Makinda: Magufuli ni Siri ya Mungu na atakayempinga atashindwa Uchaguzi ndio sababu Rais Samia anasema " Kazi Iendelee"

    Mungu ambariki mama Anna Makinda kwa kusema ukweli
  7. U

    JamiiForums Tanzania Afisa wa Polisi aliyeiba 4.8b atorokea Afrika Kusini

    Wanakuwa kama alliens hahahahahahaha
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kama mtu anakopa benki 5 tofauti za Tanzania na akaweza kukimbia nchi bila kugundulika ni ishara kwamba TISS na vyombo vingine vimelala

    Kazi ya TISS ni kufuatilia na kutoa taarifa kwenye mamlaka husika shida hizo mamlaka hazichukui hatua ,hivyo wakati nwingine tiss tunawalaumu bure
  9. U

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Mimi hii riwaya naiamini kabisa na naona inatoka jikoni huyu BT kwa nini watu wake wote wamerudi kwa system? Tena kwenye vitengo mhimu ona akina marope wasivyogusika pamoja na malalamiko ya watu
  10. U

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera atoa maoni yake kwa Tume ya Haki Jinai, Adai Mahakimu wa Mahakama wanaiogopa ofisi ya DPP

    Kesi ya sabaya yenyewe ina maslahi gani kwa taifa ?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) lashauri Kinga ya kutoshitakiwa inayowalinda viongozi iondolewe

    Hakimbii na wala hammfanyi kitu chochote honey berger nyie
  12. U

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza kuanzisha Operesheni Maalum nchi nzima kwa Mwaka Mzima bila kukoma

    Hapana mi naona jina Zuri liwe operation ramba buyu la asali
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mchungaji wa kanisa la Wasabato Kahama na familia yake wasoteshwa rumande kwa kesi ya dawa za kulevya

    Je ni kweli huyo mama alikutwa na dawa kwenye mkoba wake?
  14. U

    JamiiForums Tanzania Tumshukuru Hayati Magufuli - Rais Samia

    Aliyapuuza wapi wakati na shule zilifungwa, akawa anawatahadharisha wananchi kutotumia barakoa za misaada isipokuwa kila mtu ashone ya kwake na kufuata taratibu zote za kujikinga na korona semeni ukweli msimsingizie
Back
Top Bottom