johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,600
Ni processMbona humwombei magufuli atangazwe Mtakatifu?
Ni processMbona humwombei magufuli atangazwe Mtakatifu?
Utafarijika?Mbona humwombei magufuli atangazwe Mtakatifu?
Na hapo umejibu hoja gani zaidi ya kujaza server....Umejichanganya wewe Catholic Goat!
Aliyapuuza wapi wakati na shule zilifungwa, akawa anawatahadharisha wananchi kutotumia barakoa za misaada isipokuwa kila mtu ashone ya kwake na kufuata taratibu zote za kujikinga na korona semeni ukweli msimsingizieKutosimamisha shughuli za kiuchumi, marehemu Magufuli alikuwa sahihi.
Lakini alistahili kuweka mwongozo wa kujikinga na maradhi hayo kwa watu waliokuwa kwenye hatari zaidi, ikiwa ni pamoja na yeye mwenyewe.
Kosa alilofanya ni kuyapuuza maradhi ambayo yalikuwa ni tishio kubwa.
Ulivyo punguani wa kiwango cha fisi maji, aliamuaje peke yake wakati alikaa na baraza la mawaziri? Au ulitaka aamue na nani? Au ulitaka aamue na mbwa koko kama wewe ndo uamini kaamua na mtu?Na hapo umejibu hoja gani zaidi ya kujaza server....
Ngoja nikurudishe kwenye hoja; In the Hindsight haijalishi kama JPM alikuwa sahihi au vinginevyo..., hatari ya kwamba mtu mmoja anaweza kuamulia watu / taasisi na jamii kwa ujumla ni hatari kubwa sana...
Ofcourse lockdown was impossible kwa nchi kama Tanzania watu wangekufa kwa njaa na fujo kutokea..., Ila hatari kubwa zaidi ni Mtawala aliyepo sasa na watawaliwa kuona kwamba ni sahihi kwa mtu mmoja kuweza kuamua issue kama hii pekee; sababu inaweza ikatokea janga kama hili tena tukamsikiliza aliyepo pale juu na sio wataalamu wa hilo jambo.....
Kutosimamisha shughuli za kiuchumi, marehemu Magufuli alikuwa sahihi.
Alifanya hivyo. Ila mnajiondoa ufahamu kwa sababu zenu za kutaka kudumaza jamii.Lakini alistahili kuweka mwongozo wa kujikinga na maradhi hayo kwa watu waliokuwa kwenye hatari zaidi, ikiwa ni pamoja na yeye mwenyewe.
Hakupuuza maradhi, alitoa tahadhari, alitaka kuona Jamii inatengeneza barakoa zao wenyewe, aliwasii kutumia mbinu zingine badala ya kuwa n a utegemezi wa vifaa kutoka nje, kwa maan nyingine wawe wabunifu katika kutatua matatizo yaliyojitokeza wakati wa Janga.Kosa alilofanya ni kuyapuuza maradhi ambayo yalikuwa ni tishio kubwa.
Hivi unajua hata unachoandika au hata huelewi unachoandika Moja kama waliamua wote kwanini asifiwe mmoja ?Ulivyo punguani wa kiwango cha fisi maji, aliamuaje peke yake wakati alikaa na baraza la mawaziri? Au ulitaka aamue na nani? Au ulitaka aamue na mbwa koko kama wewe ndo uamini kaamua na mtu?
Afu ulivyo na vichogo vinne unasema lockdown was impossible kwa nchi kama Tanzania, kisha unampinga Rais Samia kwa kumsifu Magufuli kutokufanya lockdown!
Ndiomaana nilikuwa napinga nyie vyeti feki kutokulipwa!
Hapa safi ndo umeandika point ya msingi. Umezungumzia suala la wataalamu. Mwanzoni ilikuwa unaandika blabla braza ila hapa umeset good ground.Hivi unajua hata unachoandika au hata huelewi unachoandika Moja kama waliamua wote kwanini asifiwe mmoja ?
Pili wote waliosema kufuata ushauri wa wataalamu walikuwa wana-support lockdown ? Issue kubwa hapa ni kwamba life is priceless huwezi ukapima maisha na kukua au kushuka kwa uchumi...
Kwenye masuala ya Afya uamuzi inabidi utoke kwa wataalamu wa Afya period; hata kama tulitoboa kwenye hili ila haipaswi hii ndio iwe system yaani tufuate ushauri wa mwanasiasa....
Kwahio kwa kiongozi kusifia uvunjaji wa protokali hususan hata kabla hatujajua hatari / athari ya huo uamuzi ni kufanya betting na maisha ya watu
Yaani nimsingizie marehemu Maguguli ili nipate nini. Uliyoyasema kuwa aliyasema, ni kweli aliyasema lakini hiyo haiondoi ukweli kuwa aliupuuza huu ugonjwa. Hakuupa uzito mkubwa kwa uhalisia wake.Aliyapuuza wapi wakati na shule zilifungwa, akawa anawatahadharisha wananchi kutotumia barakoa za misaada isipokuwa kila mtu ashone ya kwake na kufuata taratibu zote za kujikinga na korona semeni ukweli msimsingizie
View attachment 2513786
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Tanzania amemshukuru Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kutosimamisha shughuli za kiuchumi wakati wa janga la Covid 19 na kusema hatua hizo zimesaidia uchumi wa Tanzania kutoshuka kwa sana ukilinganisha na Mataifa mengine.
Rais Samia amesema hayo leo wakati akizungumza na Wawakilishi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na Zanzibar (TAHLIFE) leo February 11,2023 Ikulu Chamwino Dodoma “Dunia imekumbukwa na mambo matatu makubwa, Uviko- 19, miaka miwili Dunia kama ilisimama hakukuwa na uzalishaji viwandani wala shughuli za maendeleo, baada ya maradhi kuondoka Dunia kama imeanza upya, viwanda vimeanza upya, chumi zimeanza kujengwa upya”
“Nataka hapa kwa pamoja tumshukuru Marehemu John Pombe Magufuli yeye alisema sisi hatusimamishi kitu kwasababu hatuna uwezo wa kulisha Watu wote hawa kila Mtu atoke akajitafutie riziki lakini tuchukue tahadhari, kwa maana hiyo uchumi wetu haukushuka sana kama ulivyoshuka kwa wenzetu Nchi za jirani ndio maana hatukutetereka sana”
“Uchumi wetu ulikuwa unakua kwa 7% lakini yalipoingia maradhi tumeshuka mpaka 4% lakini kuna Nchi za jirani walishuka hadi 2% hadi 3% kwahiyo sisi tulikwenda vizuri, kwahiyo Dunia imekumbwa na maradhi, mabadiliko ya Tabia Nchi na sasa sio mabadiliko ya Tabia Nchi ni mabadiliko ya Tabia Dunia”
#MillardAyoUPDATES
Ivi kama awamuogopi magufuli mbona awakisajili chama Cha umoja partNi process
Kweli kabisa.Kama ccm wanataka waheshimiwe waendelee kumuenzu jpm Hakika jpm anakubalika mno mama ameshtuka kuwa bila kujiattach na jpm hakubaliki
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Maneno ya kweli kabisa. Mama ashikilie mtazamo huu na aachane na wapambe ambao wanadhani kumsifia yeye ni lazima wamponde JPM. Anayoyasema Mama kuhusu COVID19 ndio ukweli wenyewe, pamoja na kwamba JPM alikuwa akichekwa kwa maamuzi yake. Linganisha vifo vilivyotokea kati ya Kenya, waliochukua hatua ya kufunga nchi, na sisi tulioiacha wazi, JPM akisema nchi itabakia wazi lakini tahadhari za kinga zichukuliwe na watu tusali. Vifo vya Tanzania havikuwa vingi kama vya Kenya.View attachment 2513786
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Tanzania amemshukuru Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kutosimamisha shughuli za kiuchumi wakati wa janga la Covid 19 na kusema hatua hizo zimesaidia uchumi wa Tanzania kutoshuka kwa sana ukilinganisha na Mataifa mengine.
Rais Samia amesema hayo leo wakati akizungumza na Wawakilishi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na Zanzibar (TAHLIFE) leo February 11,2023 Ikulu Chamwino Dodoma “Dunia imekumbukwa na mambo matatu makubwa, Uviko- 19, miaka miwili Dunia kama ilisimama hakukuwa na uzalishaji viwandani wala shughuli za maendeleo, baada ya maradhi kuondoka Dunia kama imeanza upya, viwanda vimeanza upya, chumi zimeanza kujengwa upya”
“Nataka hapa kwa pamoja tumshukuru Marehemu John Pombe Magufuli yeye alisema sisi hatusimamishi kitu kwasababu hatuna uwezo wa kulisha Watu wote hawa kila Mtu atoke akajitafutie riziki lakini tuchukue tahadhari, kwa maana hiyo uchumi wetu haukushuka sana kama ulivyoshuka kwa wenzetu Nchi za jirani ndio maana hatukutetereka sana”
“Uchumi wetu ulikuwa unakua kwa 7% lakini yalipoingia maradhi tumeshuka mpaka 4% lakini kuna Nchi za jirani walishuka hadi 2% hadi 3% kwahiyo sisi tulikwenda vizuri, kwahiyo Dunia imekumbwa na maradhi, mabadiliko ya Tabia Nchi na sasa sio mabadiliko ya Tabia Nchi ni mabadiliko ya Tabia Dunia”
#MillardAyoUPDATES
Pia hata public transport ilikua ni level seat hamna kubananaAliyapuuza wapi wakati na shule zilifungwa, akawa anawatahadharisha wananchi kutotumia barakoa za misaada isipokuwa kila mtu ashone ya kwake na kufuata taratibu zote za kujikinga na korona semeni ukweli msimsingizie
Itakatifu ni utakatifu hauombewi.Mbona humwombei magufuli atangazwe Mtakatifu?
Ulitaka tupige kura? Mbona CHADEMA wKishapiga kura wabunge wao wakatika Bungeni na kina zittokabwe? Uchaguzi uliofuata 2020 wananji wenye hasira wakawanyima kura sasa siyo wabunge tena.Na hapo umejibu hoja gani zaidi ya kujaza server....
Ngoja nikurudishe kwenye hoja; In the Hindsight haijalishi kama JPM alikuwa sahihi au vinginevyo..., hatari ya kwamba mtu mmoja anaweza kuamulia watu / taasisi na jamii kwa ujumla ni hatari kubwa sana...
Ofcourse lockdown was impossible kwa nchi kama Tanzania watu wangekufa kwa njaa na fujo kutokea..., Ila hatari kubwa zaidi ni Mtawala aliyepo sasa na watawaliwa kuona kwamba ni sahihi kwa mtu mmoja kuweza kuamua issue kama hii pekee; sababu inaweza ikatokea janga kama hili tena tukamsikiliza aliyepo pale juu na sio wataalamu wa hilo jambo.....
Aisee hivi hata umecheki ninaongelea nini narudia tena kujiqoute ulichoniqoute.......Ulitaka tupige kura? Mbona CHADEMA wKishapiga kura wabunge wao wakatika Bungeni na kina zittokabwe? Uchaguzi uliofuata 2020 wananji wenye hasira wakawanyima kura sasa siyo wabunge tena.